Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Hongera Sana Flora kwa kupata mtoto mwingine, Mtoto mzuriii jamaniii. Sasa hii ya kusema mtoto ni wanani tunakuachia mwenyewe ndo unaujua ukweli.....

Tuache utani flora ni mzuri sana alafu inaonekana akiwa shambani analima kwelikweli.
 
Daah, nilikuwa nafatilia kulf fb aisee kama ni kweli mtoto ni wa Gwajima, je kama mchg inakuwaje unazaa na mke wa mtu? je gwajima ana mke au?Je huu ndio utumishi? ninakitabu cha gwajima kinaitwa mega church amezungumzia kuhusu jinsi waumini wanavyopaswa kuwaheshimu wake za Watumishi, inakuwaje leo? Flora kama kweli amezaa na gwajima kumbe kelele za kumpakazia kubaka mmewe Emma ilikuwa ni uongo ili ale maisha ya kitapeli na Gwajima? Hakika Mungu anaishi. Mungu mtie nguvu Enanuel kijana mwenzetu.

hata kama ni mapenzi yaani unasaliti mpaka unazaa nje ya ndoa tena ya kanisani?[/QU
Nimeona Id yko nimeipenda najua kumbe kuna ndugu humu wote wa kgm mjn
 
Daah, nilikuwa nafatilia kulf fb aisee kama ni kweli mtoto ni wa Gwajima, je kama mchg inakuwaje unazaa na mke wa mtu? je gwajima ana mke au?Je huu ndio utumishi? ninakitabu cha gwajima kinaitwa mega church amezungumzia kuhusu jinsi waumini wanavyopaswa kuwaheshimu wake za Watumishi, inakuwaje leo? Flora kama kweli amezaa na gwajima kumbe kelele za kumpakazia kubaka mmewe Emma ilikuwa ni uongo ili ale maisha ya kitapeli na Gwajima? Hakika Mungu anaishi. Mungu mtie nguvu Enanuel kijana mwenzetu.

hata kama ni mapenzi yaani unasaliti mpaka unazaa nje ya ndoa tena ya kanisani?

Ni kweli flora kazaa ss cjui ni wa ngwajima kweli au lkn ht mbasha hata kuwa na uhakika na mtt huyo cjui mambo yao yaliishiaga wapi
 
Jamani hebu subirini! mtoa mada labda ana kapicha ka huyo mtoto wajuzi wa sura mtusaidie!!!
 
Wabongo kiboko!!!
Wameshapata na majibu ya DNA kwa kuwatazama tu!!!
 
Una uhakika mtoa mada?am a ulimshkia miguu Dada wa watu?? Ushahidi kuhusu hili
 
napita tu ......hongera Frola kwa kupata mtoto....mlee mtoto katika maadili yanayofaaa mpaka atakapo jitegemea amen...
 
Ondoa uzushi wako wa kishetani hapa. Kwenda huko pepo uwongo!!!!!!!!!!!.

Pyuuuuuuuuuu!.

Mtaendelea kujijengea laana hadi lini? Mtamsaidia shetani huku mkidhani mnajifurahisha hadi lini? Kwenda zako kule.

Mbona ume-panic......Daah
 
Hao jamaa baada ya kupigia kampeni chama cha ma-facist, siwaonei huruma kwa lolote lile.
Yote yanayotokea ni malipo ya usaliti kwa wananchi.
 
Kwa sababu Mungu wetu ni mvumilivu ndo maana watu tumekuwa na tabia hii ya kuwainulia maneno watumishi wake kama tupendavyo.
Hakuna hata mmoja wetu mwenye uhakika kuwa hao wawili waliwahi hata kuchunguliana. Mch. Gwajima ni mtu angeweza kumpata mwanamke anaye mtaka kama ni kutumia fedha zake. Leo, mnasimama kidete kumwinulia mtoto.
Kuna vitu vingi vya kuthibitisha hilo na anayeweza fanya hivyo ni Emanuel na Flora si weye na miye. Hatutafaidi lolote kama wawili hao wakitengana wala hatutafaidi lolote wawili hao wakithibitishiwa kuwa huyo mtoto ni wao. Tatizo ni kwa Emanuel, Ole ni wake, akute mtoto ni wake wakati amesema achunguzwe. Akija kuwa mtu mzima, aambiwe unyama alio mfanyia babake kumdhalilisha kuwa huenda ni haram, sijui itakuwaje. Acheni kudhalilisha watu
 
Hivi wewe mleta mada una uhakika huyo unayemuita baba ni baba yako kweli?

Au kama una mtoto, je una uhakika kuwa huyo uliyenaye ni mwanao kweli?

Ukiweza kuhakikisha hayo, hamiakwa ndugu zako halafu mwishoni ndio uanze upashkuna kufuatilia habari za watu awasiokuhusu....
 
jamn msipende kuzusha uzushi mnauhakika gani kama mtoto ni was mchungaji na usikute alimchukia mumewe kwa sababu ya mimba maanake mimba na zenyewe zinamambo mmeo unaweza kumuona kituo cha polisi
 
aizee...dogo kafanana helicopter...jamaa atafute njia kuu nyingine apunguze japo machungu..
 
Yaani watu busy kabisa kukinanga kichanga....loooh!!!
Watu wachuro sijapata ona aiseee!
 
Ondoa uzushi wako wa kishetani hapa. Kwenda huko pepo uwongo!!!!!!!!!!!.

Pyuuuuuuuuuu!.

Mtaendelea kujijengea laana hadi lini? Mtamsaidia shetani huku mkidhani mnajifurahisha hadi lini? Kwenda zako kule.

Mpaka utombewe Mke wako ndio hutosema hayo
 
Back
Top Bottom