tatizo Flora mtata, kwann alikua anajficha na kwenda hosp ucku, tena daktar wake special anaenda jioniii kwa kujfcha. ndo mana wanamuhc vbaya!!!. ndo faida ya kua maarufu hyo skendo likikupata utajta.
Angekua mkatoriki ndo kafanya huo ujinga dunia ingesimama,ila kwakua ni hao wapinga kristu na wapiga madeal,wacha wafanye tu..walokole ni majanga hasa kwa wake za watu.
Hawa wanaojiita watumishi tuseme ukweli watatudhihaki Sir lakini waelewe Mungu hashiakiwi katu,na MTU anachuma matunfa ya uovu wake na laana juu take ama kwa kizazi chake
Yaweza kuwa ni umbea tu kama mwingine,ila flora kidogo huwa anatia shaka,hata kabla ya scandal ya uhusiano wake na gwajima,kuna kiji ibilisi huwa kinamzuzua.