Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Mpaka utombewe Mke wako ndio hutosema hayo

tatizo Flora mtata, kwann alikua anajficha na kwenda hosp ucku, tena daktar wake special anaenda jioniii kwa kujfcha. ndo mana wanamuhc vbaya!!!. ndo faida ya kua maarufu hyo skendo likikupata utajta.
 
Bora angezaa mtoto wa mlango wa ndoa lakini sio mtoto wa nje ya ndoani dhambi …
 
Frola mbasha kawaambua mtoto ni wa Gwajima? Na mwenye mke je? kisha m lalamikia mtu?
Ninyi ni akina nani na mmejuaje mtoto si wa Mbasha mwenyewe?
 
Angekua mkatoriki ndo kafanya huo ujinga dunia ingesimama,ila kwakua ni hao wapinga kristu na wapiga madeal,wacha wafanye tu..walokole ni majanga hasa kwa wake za watu.
 
Hawa wanaojiita watumishi tuseme ukweli watatudhihaki Sir lakini waelewe Mungu hashiakiwi katu,na MTU anachuma matunfa ya uovu wake na laana juu take ama kwa kizazi chake
 
Kiongozi wa kanisa kutenda haya KAMA KIONGOZI anatoa mfano gani kwa JAMII ? na waumini
 
Yaweza kuwa ni umbea tu kama mwingine,ila flora kidogo huwa anatia shaka,hata kabla ya scandal ya uhusiano wake na gwajima,kuna kiji ibilisi huwa kinamzuzua.
 
Kila siku ni habari mbaya mbaya tu na ndizo watu wanapenda hapa nchini, akinunua shamba la mananasi watu hawaandiki nyuzi
 
Hivi wapima dna
hawahongeki?
 

Attachments

  • MBASHA.jpg
    MBASHA.jpg
    107.3 KB · Views: 347
Back
Top Bottom