kichunafk
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 992
- 479
mtoto kafananaaaa na baba ake huyoooo
daaah!!
mpaka raha
hahahahhahaha, unajua kupambisha wewe.
Hebu mpeni moyo mbasha anaweza kurudisha moyo nyuma wakalea mtoto.
Kitanda hakizai haramu kumbuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtoto kafananaaaa na baba ake huyoooo
daaah!!
mpaka raha
lin pole sana. Kwa hiyo huyo mtoto ataitwa bini au binti nani? Au binti naniliii. Da jamani. Mwenye nayo mtusaidie kuatachi tuoneMwenzangu naona teknolojia inanishinda kutumia naona picha imegoma kuatachika,Flora kajifngua mtoto anafanana na naniliiiiii kabisakabisa
Ndio Mama zetu, ndio dada zetu name ndio wake zetu.wanawake bana ni viumbe wa ajabu sana uwe na hela, uwe huna, unaweza adhirishwa vibaya sana mpaka ukaona dunia yote ni pango la majizi! sasa hapa huu si utata mkubwa aibu kwa kila upande! Lol
Mwenzangu naona teknolojia inanishinda kutumia naona picha imegoma kuatachika,Flora kajifngua mtoto anafanana na naniliiiiii kabisakabisa
hahahahhahaha, unajua kupambisha wewe.
Hebu mpeni moyo mbasha anaweza kurudisha moyo nyuma wakalea mtoto.
Kitanda hakizai haramu kumbuka
Mwenzangu naona teknolojia inanishinda kutumia naona picha imegoma kuatachika,Flora kajifngua mtoto anafanana na naniliiiiii kabisakabisa
Ngoja wadau watusaidie
Ngoja wadau watusaidie
Haka katoto kataleta mambo, hakafanani na Gwajima wala Mbasha. Kanafanana na naibu waziri wa fedha.
Haka katoto kataleta mambo, hakafanani na Gwajima wala Mbasha. Kanafanana na naibu waziri wa fedha.
Yeleuuuuwi!Ngastukaa!
hahaha....vijana wa dot.com wenyewe wanasema
"SHKAOO DA FLOLA"