Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Nimeshasema hapa duniani tu wapitaji..Pamoja na ghaliba zote za hapa na mwovu shetani..Tunatenda dhambi kila uchwao...Hivyo hapo kwa atakaye umili a mpaka mwisho...Namaanisha atakaye vumilia shida zote hizi hapa duniani bila kupioteza imani yake kwa Mungu (Yesu Kristo) huyo ataokoka (Ataingia katika Umfalme waMungu siku ya mwisho..
Mbona rahisi sana..
Nimeshasema hapa duniani tu wapitaji..Pamoja na ghaliba zote za hapa na mwovu shetani..Tunatenda dhambi kila uchwao...Hivyo hapo kwa atakaye vumilia mpaka mwisho, Namaanisha atakaye vumilia shida zote hizi hapa duniani bila kupioteza imani yake kwa Mungu (Yesu Kristo) huyo ataokoka (Ataingia katika Ufalme waMungu siku ya mwisho..
Mbona rahisi sana..
Dhambi ambayo kwayo ilipaswa kutolewa sadaka ya mnyama ili mtu asamehewe. Dhambi ni uasi, na uasi ulianzia pale Bustanini Adamu na mke wake walipoacha maagizo ya Mungu) Ndipo alipokuja Masihi kumkomboa huyu mwanadamu kwa damu yake na kumrudisha katika nafasi yake ya kwanza aliyowekewa na Mungu wakati wa uumbaji.Red: Kumkomboa na kitu gani....?
Nimeeleza hapo juu kuwa Kaka mkubwa ninavyoifahamu dini kwa upeo wangu.HAlafu mkuu kwani DINI ni kitu gani..?
Hawawezi kuelewa .......mtu anahubiri alafu mwisho anasema nani ambaye "HAJAOKOKA" anataka "KUOKOKA" .......baada ya hapo anaambiwa sema maneno yafuatayo .........mtu akishasema maneno hayo anaambiwa "AMEOKOKA" .........What a joke? .........kuna wokovu kabla ya kubatizwa? Kimsingi hapo mtu ameamini kama hatua ya kwanza kuelekea kwenye wokovu.....then anabatizwa kama hatua nyingine kuelekea kwenye wokovu ........baada ya hapo anapaswa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu hata mwisho ili AOKOKE .......huwezi kutumia neno zito kuwa UMEOKOKA alafu kesho unaanguka dhambini .....ukianguka unaokoka tena baada ya kutubu?
Unasikia mhubiri anasema waliookoka tu ndio wataenda mbinguni ........anasahau kuwaambia ukweli kuwa watakaoishi maisha ya kumpendeza Mungu hata mwisho ndio Watakaokoka .........Wokovu ni ushindi wa mwisho wa Mkristu baada ya kushinda dhambi maisha yake yote hapa duniani ..........
Nashukuru sana mkuu kwa ufafanuzi makini, Sasa kumuamini Mungu (Yesu Kristo) ni nini mkuu? (ni tendo, kitendo au ni mchakato au ni mfumo wa maisha au ni nini mkuu?
Na mtu akitaka kumuamini Mungu anafanyaje? Maana inaonekana ni rahisi natamani kuelewa zaidi. Asante
[/QUOTE
Hivi kumbe najibizana na mtu ambaye hamjui Mungu...
Yani mkuu!!! Sijakuekewa..Wewe hujui Mungu..
Nashukuru sana mkuu kwa ufafanuzi makini, Sasa kumuamini Mungu (Yesu Kristo) ni nini mkuu? (ni tendo, kitendo au ni mchakato au ni mfumo wa maisha au ni nini mkuu?
Na mtu akitaka kumuamini Mungu anafanyaje? Maana inaonekana ni rahisi natamani kuelewa zaidi. Asante
[/QUOTE
Hivi kumbe najibizana na mtu ambaye hamjui Mungu...
Yani mkuu!!! Sijakuekewa..Wewe humjui Mungu..
You have a point Brother MTAZAMO . Ongezea nyama kidogo na hili neno:-
Warumi 10:9-10 ''Kama ukikiri kwa kinywa chako kuwa Yesu ni Bwana na ukiamini moyoni mwako kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka.10 Kwa maana mtu ana poamini moyoni mwake huhesabiwa haki, na anapokiri kwa kinywa chake, huokolewa''
Romans 10:9-10
''If you declare with your mouth, Jesus is Lord, and believe in your heart that God raised him from the dead, you will be saved.10 For it is with your heart that you believe and are justified, and it is with your mouth that you profess your faith and are saved''
Then my brother what do you see?
NB: Huwa napata shida kidogo hapa, Tunaposema (au maandiko yanaposema kuokoka) kuokoka ni kuokoka au kuokolewa against what? labda tuendelezee kujiuliza kuanzia hapo.
Kwani walikwisharudiana?
Flora ni changudoa mlokole,anataka kwenda kwa nabii mwasherati,naweza kusema kuwa yeye ndiye anayemnyanyasa mumewe kwa kutumia umaarufu wake,na atalipwa sawasawa na matendo yake mwanakulaaniwa huyu.
Hapana mkuu sijawahi kuachwa na mwanamke,hat siku. Moja,nikuambie kwa nini?am one of those old fashioned guys! Niljua ngono siku nilipofunga ndoa,na mpaka hapa nilipo nipo na mke wangu wa ndoa! Aliyeniacha ni nani,kuwa na akili na uitumie.
Muhanga mwingine wa kupigwa chini na wanawake huyu!