Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi Kisutu

mbasha.jpg
MW3_My_Parents_Divorce_and_Video_Games1.jpg

Namkumbuka lara1 aliposema ndoa ni hypocritical Institution...Hahahaha
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana mkuu kwa ufafanuzi makini, Sasa kumuamini Mungu (Yesu Kristo) ni nini mkuu? (ni tendo, kitendo au ni mchakato au ni mfumo wa maisha au ni nini mkuu?

Na mtu akitaka kumuamini Mungu anafanyaje? Maana inaonekana ni rahisi natamani kuelewa zaidi. Asante

Nimeshasema hapa duniani tu wapitaji..Pamoja na ghaliba zote za hapa na mwovu shetani..Tunatenda dhambi kila uchwao...Hivyo hapo kwa atakaye umili a mpaka mwisho...Namaanisha atakaye vumilia shida zote hizi hapa duniani bila kupioteza imani yake kwa Mungu (Yesu Kristo) huyo ataokoka (Ataingia katika Umfalme waMungu siku ya mwisho..

Mbona rahisi sana..
 
Nimeshasema hapa duniani tu wapitaji..Pamoja na ghaliba zote za hapa na mwovu shetani..Tunatenda dhambi kila uchwao...Hivyo hapo kwa atakaye vumilia mpaka mwisho, Namaanisha atakaye vumilia shida zote hizi hapa duniani bila kupioteza imani yake kwa Mungu (Yesu Kristo) huyo ataokoka (Ataingia katika Ufalme waMungu siku ya mwisho..

Mbona rahisi sana..

Hawawezi kuelewa .......mtu anahubiri alafu mwisho anasema nani ambaye "HAJAOKOKA" anataka "KUOKOKA" .......baada ya hapo anaambiwa sema maneno yafuatayo .........mtu akishasema maneno hayo anaambiwa "AMEOKOKA" .........What a joke? .........kuna wokovu kabla ya kubatizwa? Kimsingi hapo mtu ameamini kama hatua ya kwanza kuelekea kwenye wokovu.....then anabatizwa kama hatua nyingine kuelekea kwenye wokovu ........baada ya hapo anapaswa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu hata mwisho ili AOKOKE .......huwezi kutumia neno zito kuwa UMEOKOKA alafu kesho unaanguka dhambini .....ukianguka unaokoka tena baada ya kutubu?

Unasikia mhubiri anasema waliookoka tu ndio wataenda mbinguni ........anasahau kuwaambia ukweli kuwa watakaoishi maisha ya kumpendeza Mungu hata mwisho ndio Watakaokoka .........Wokovu ni ushindi wa mwisho wa Mkristu baada ya kushinda dhambi maisha yake yote hapa duniani ..........
 
Red: Kumkomboa na kitu gani....?
Dhambi ambayo kwayo ilipaswa kutolewa sadaka ya mnyama ili mtu asamehewe. Dhambi ni uasi, na uasi ulianzia pale Bustanini Adamu na mke wake walipoacha maagizo ya Mungu) Ndipo alipokuja Masihi kumkomboa huyu mwanadamu kwa damu yake na kumrudisha katika nafasi yake ya kwanza aliyowekewa na Mungu wakati wa uumbaji.

HAlafu mkuu kwani DINI ni kitu gani..?
Nimeeleza hapo juu kuwa Kaka mkubwa ninavyoifahamu dini kwa upeo wangu.
 
You have a point Brother MTAZAMO . Ongezea nyama kidogo na hili neno:-

Warumi 10:9-10 ''Kama ukikiri kwa kinywa chako kuwa Yesu ni Bwana na ukiamini moyoni mwako kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka.
10 Kwa maana mtu ana poamini moyoni mwake huhesabiwa haki, na anapokiri kwa kinywa chake, huokolewa''

Romans 10:9-10

''If you declare with your mouth, "Jesus is Lord," and believe in your heart that God raised him from the dead, you will be saved.10 For it is with your heart that you believe and are justified, and it is with your mouth that you profess your faith and are saved''

Then my brother what do you see?
NB: Huwa napata shida kidogo hapa, Tunaposema (au maandiko yanaposema kuokoka) kuokoka ni kuokoka au kuokolewa against what? labda tuendelezee kujiuliza kuanzia hapo.

Hawawezi kuelewa .......mtu anahubiri alafu mwisho anasema nani ambaye "HAJAOKOKA" anataka "KUOKOKA" .......baada ya hapo anaambiwa sema maneno yafuatayo .........mtu akishasema maneno hayo anaambiwa "AMEOKOKA" .........What a joke? .........kuna wokovu kabla ya kubatizwa? Kimsingi hapo mtu ameamini kama hatua ya kwanza kuelekea kwenye wokovu.....then anabatizwa kama hatua nyingine kuelekea kwenye wokovu ........baada ya hapo anapaswa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu hata mwisho ili AOKOKE .......huwezi kutumia neno zito kuwa UMEOKOKA alafu kesho unaanguka dhambini .....ukianguka unaokoka tena baada ya kutubu?

Unasikia mhubiri anasema waliookoka tu ndio wataenda mbinguni ........anasahau kuwaambia ukweli kuwa watakaoishi maisha ya kumpendeza Mungu hata mwisho ndio Watakaokoka .........Wokovu ni ushindi wa mwisho wa Mkristu baada ya kushinda dhambi maisha yake yote hapa duniani ..........
 
Nashukuru sana mkuu kwa ufafanuzi makini, Sasa kumuamini Mungu (Yesu Kristo) ni nini mkuu? (ni tendo, kitendo au ni mchakato au ni mfumo wa maisha au ni nini mkuu?

Na mtu akitaka kumuamini Mungu anafanyaje? Maana inaonekana ni rahisi natamani kuelewa zaidi. Asante

[/QUOTE

Hivi kumbe najibizana na mtu ambaye hamjui Mungu...
Yani mkuu!!! Sijakuekewa..Wewe hujui Mungu..
 
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe, Emmanuel Mbasha. Flora anadai sababu za kuomba kuvunja ndoa hiyo apewe talaka ni kutokana na tabia ya mumewe kumpiga, kumnyanyasa na kushindwa kumpatia matibabu.
Una lipi la kuwaambia wanandoa hawa?
 
Samahani mkuu Otorong'ong'o, nadhani sibishani na wewe, nataka kujifunza kutoka kwako kaka mkubwa.

Kwenye bold:

Kwani Kumjua Mungu kukoje? Yaani ili mtu aseme anamjua mungu anakuwa amefanyaje sasa? Ili nijue namjua Mungu natakiwa kufanyaje Mkuu? au niweje au niwe na nini?

Usinicheke kwa maswali yangu ya ki-layman, waweza kunisaidia kusogea mbele kidogo.

Pia Naomba unijibu hayo niliopigia mstari mkuu. Asante sana

Nashukuru sana mkuu kwa ufafanuzi makini, Sasa kumuamini Mungu (Yesu Kristo) ni nini mkuu? (ni tendo, kitendo au ni mchakato au ni mfumo wa maisha au ni nini mkuu?

Na mtu akitaka kumuamini Mungu anafanyaje? Maana inaonekana ni rahisi natamani kuelewa zaidi. Asante

[/QUOTE

Hivi kumbe najibizana na mtu ambaye hamjui Mungu...
Yani mkuu!!! Sijakuekewa..Wewe humjui Mungu..
 
You have a point Brother MTAZAMO . Ongezea nyama kidogo na hili neno:-

Warumi 10:9-10 ''Kama ukikiri kwa kinywa chako kuwa Yesu ni Bwana na ukiamini moyoni mwako kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka.
10 Kwa maana mtu ana poamini moyoni mwake huhesabiwa haki, na anapokiri kwa kinywa chake, huokolewa''

Romans 10:9-10

''If you declare with your mouth, “Jesus is Lord,” and believe in your heart that God raised him from the dead, you will be saved.10 For it is with your heart that you believe and are justified, and it is with your mouth that you profess your faith and are saved''

Then my brother what do you see?
NB: Huwa napata shida kidogo hapa, Tunaposema (au maandiko yanaposema kuokoka) kuokoka ni kuokoka au kuokolewa against what? labda tuendelezee kujiuliza kuanzia hapo.

Mkuu upo sahihi lakini ktk kupata maana kamili ya Wokovu lazima usome maandiko mengi kuhusu wokovu ili kuelewa Mungu anamaanisha nini kuhusu wokovu......kila mstari wa biblia wafaa kwa mafunzo lakini ukisimama na mstari mmoja wowote bila kusoma vizuri na mingine unaweza kufikiri tofauti.......kwa mfano Yesu mwenyewe alisema wote watakaoamini lazima wabatizwe ili wawe "candidate" wa ufalme wa Mungu ......na kwa maandiko hayo kutoka kwa warumi 10:10-9 basi ungeweza kusema imani yatosha......lakini Yesu alisema imani bila matendo imekufa......je maandiko yamepingana?
 
Hawana jipya,waendezao huko. Sasa mahakama si dhani kama inavunja ndoa. Bali hutenganisha wanandoa pale panapojitokeza hali ya hatari kati yao. Ndoa ya kikristo haivunjwi isipokuwa kifo pekeee!!!!
 
Mkuu MTAZAMO na Tized naomba kuchangia hapa kidogo maana naona mimi na wewe tized tunataka kwenda mabali..

Tuangali maana ya kuokoka katika Agano la Kale..
Kuokoka ni kutokana na maovu mbalimabali: Vita njaa, magonjwa, kifo, hukumu na mambo kama ayo..
tendo kubwa la Mungu kuwakoa watu lilikuwa kuwatoa utumwani Misri (Kut 20:2)
Katika matatizo mbalimbali Watu walilimlilia Mungu wakisema "Ee Mungu tuokoe......uniokoe (Zab 54:1) Bwana Mungu Uniokoe na wote wanaonifuatia.......ZAb. 7:1

HAPO NI aGANO LA kALE...
jE! aGANO JIPYA LINASEMAJE

Agano jipya linaendeleza maana ileile ya kuokoka kama ilivyo Agano la kale (Luka 1:74; 2Timoth 4:18) Lakini Agano Jipya linatilia mkazo juu ya Kuokoka kuwa tendo la kuondolewa dhambi....Na hivyo inasemwa Yesu alikuja kuwaokoka watu na dhambi zao...(Mt. 2:21) Mungu ndiye aliyechukua hatua ya kuwaokoa watu

Hivyo unatakiwa kutubu zambi na Kumwamini Yesu kuwa ni Mwokozi...(Rum 10:9)

Ila kubatizwa na kukiri bado hakutoshi...Kazi bado jaijaisha..Ndo kwanza safari imeanza
 
Last edited by a moderator:
Flora ni changudoa mlokole,anataka kwenda kwa nabii mwasherati,naweza kusema kuwa yeye ndiye anayemnyanyasa mumewe kwa kutumia umaarufu wake,na atalipwa sawasawa na matendo yake mwanakulaaniwa huyu.
 
Muhanga mwingine wa kupigwa chini na wanawake huyu!
 
Hapana mkuu sijawahi kuachwa na mwanamke,hat siku. Moja,nikuambie kwa nini?am one of those old fashioned guys! Niljua ngono siku nilipofunga ndoa,na mpaka hapa nilipo nipo na mke wangu wa ndoa! Aliyeniacha ni nani,kuwa na akili na uitumie.
 
Hawawezi kuelewa .......mtu anahubiri alafu mwisho anasema nani ambaye "HAJAOKOKA" anataka "KUOKOKA" .......baada ya hapo anaambiwa sema maneno yafuatayo .........mtu akishasema maneno hayo anaambiwa "AMEOKOKA" .........What a joke? .........kuna wokovu kabla ya kubatizwa? Kimsingi hapo mtu ameamini kama hatua ya kwanza kuelekea kwenye wokovu.....then anabatizwa kama hatua nyingine kuelekea kwenye wokovu ........baada ya hapo anapaswa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu hata mwisho ili AOKOKE .......huwezi kutumia neno zito kuwa UMEOKOKA alafu kesho unaanguka dhambini .....ukianguka unaokoka tena baada ya kutubu?

Unasikia mhubiri anasema waliookoka tu ndio wataenda mbinguni ........anasahau kuwaambia ukweli kuwa watakaoishi maisha ya kumpendeza Mungu hata mwisho ndio Watakaokoka .........Wokovu ni ushindi wa mwisho wa Mkristu baada ya kushinda dhambi maisha yake yote hapa duniani ..........

Imani ni utata mtupu! Kama inafikia hatua mwanadamu anamwamini mwanadamu mwenzie zaidi kuliko Mungu! Inashangaza.
 
Back
Top Bottom