Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hivyo Kuokoka kuna Hatua Tatu Muhimu...
Kuokoka siyo tendo la mara moja. Agano jipya linapambanua hatua tatu za kuokoka...
Awamu ya kwanza : Ni ile ya kupokea Ofa ya Mungu kwa kutimiza masharti matatu
Saharti la kwanza ni kumwamini au ukipenda Kumpokea Yesu Kristo, Sharti la Pili ni Kujuta dhambi na Sharti la tatu ni Kubatizwa katika Jina la Yesu....Hayo yote yapo katika awamu ya kwanza ya wokovu na ndo msingi.
Awamu ya Pili
Aliyeokoka katika awamu ya kwanza anatakiwa kutekeleza maazimio aliyoyaweka alipotubu na kubatizwa..Anatakiwa kuachana na maisha ya dhambi...St. Paulo anatumia lugha hii "Basi kama mlivyompokea Yesu Kristo, enendeni hivyo hivyo katika yeyey...Mmefanywa imara katika Imani, kama mlivyofundishwa mkizidi kutoa shukrani...(Kol 21-7)
Awamu hii inadumu maisha yote...Ila ni awamu ya kuanguka na kusimama.
Awamu ya Tatu
Awamu ya tatu hufikiwa baada ya kumaliza safari hapa duniani..... Hapo nyumba ya hapa duniani itakapobomolewa na tutakaa katikanyumba ya Mungu isiyojengwa kwa mkono..(2Kor 5:1) Huo utakuwa wakati wa kuchukuliwa salama katika utawala wa Mungu mbinguni..(2Tim 4:18) wakati wa kuvikwa tuzo la ushindi...(Filipi 3:12) na huo ndio mwisho wa zoezi zima la wokovu
rosemarie Tized MTAZAMO

Last edited by a moderator: