Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi Kisutu

Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi Kisutu

Hivyo Kuokoka kuna Hatua Tatu Muhimu...

Kuokoka siyo tendo la mara moja. Agano jipya linapambanua hatua tatu za kuokoka...

Awamu ya kwanza : Ni ile ya kupokea Ofa ya Mungu kwa kutimiza masharti matatu
Saharti la kwanza ni kumwamini au ukipenda Kumpokea Yesu Kristo, Sharti la Pili ni Kujuta dhambi na Sharti la tatu ni Kubatizwa katika Jina la Yesu....Hayo yote yapo katika awamu ya kwanza ya wokovu na ndo msingi.

Awamu ya Pili
Aliyeokoka katika awamu ya kwanza anatakiwa kutekeleza maazimio aliyoyaweka alipotubu na kubatizwa..Anatakiwa kuachana na maisha ya dhambi...St. Paulo anatumia lugha hii "Basi kama mlivyompokea Yesu Kristo, enendeni hivyo hivyo katika yeyey...Mmefanywa imara katika Imani, kama mlivyofundishwa mkizidi kutoa shukrani...(Kol 21-7)
Awamu hii inadumu maisha yote...Ila ni awamu ya kuanguka na kusimama.

Awamu ya Tatu

Awamu ya tatu hufikiwa baada ya kumaliza safari hapa duniani..... Hapo nyumba ya hapa duniani itakapobomolewa na tutakaa katikanyumba ya Mungu isiyojengwa kwa mkono..(2Kor 5:1) Huo utakuwa wakati wa kuchukuliwa salama katika utawala wa Mungu mbinguni..(2Tim 4:18) wakati wa kuvikwa tuzo la ushindi...(Filipi 3:12) na huo ndio mwisho wa zoezi zima la wokovu
rosemarie Tized MTAZAMO
 
Last edited by a moderator:
You have a point Brother MTAZAMO . Ongezea nyama kidogo na hili neno:-

Warumi 10:9-10 ''Kama ukikiri kwa kinywa chako kuwa Yesu ni Bwana na ukiamini moyoni mwako kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka.
10 Kwa maana mtu ana poamini moyoni mwake huhesabiwa haki, na anapokiri kwa kinywa chake, huokolewa''

Romans 10:9-10

''If you declare with your mouth, "Jesus is Lord," and believe in your heart that God raised him from the dead, you will be saved.10 For it is with your heart that you believe and are justified, and it is with your mouth that you profess your faith and are saved''

Then my brother what do you see?
NB: Huwa napata shida kidogo hapa, Tunaposema (au maandiko yanaposema kuokoka) kuokoka ni kuokoka au kuokolewa against what? labda tuendelezee kujiuliza kuanzia hapo.

Mkuu Tized nimeelezea kwa undani kwenye post zangu za hapo juu..

Nafikiri sasa tunaweza jadiliana...
 
Mmmmh Flora nayeee???? i blv yeye ndio anamtesa Emma na vp sakata na kesi ya unakaji aliyomfungulia mume ilikwisha na akarejea kwa Emma iwe leo ataka talaka? Namuunga mkono mzee mmoja wa baraza hapo juu aliyesema ..... ni changudoa wa kilokole na ili kuthbitisha kuwa ndio maana anataka awe huruuu kama alivyofanya Pamela na mzee wa ngurumo ya Upako.
 
alibaka ndio,yule kaka anajionaga handsome sana na inferiority complex inamsumbua pia. anampiga ndio na mnyanyasaji mkubwa.
 
Mkuu MTAZAMO na Otorong'ong'o nakubaliana na hoja zenu kiasi kikubwa sana Na kwenye mambo ya msingi.

Naomba udhuru kidogo nitarejea tuendelee kuelimishana na kulichambua zaidi zaidi hili swala. Nawashukuru sana.

Tupo pamoja mkuu....Imani moja,Kanisa Moja.......
 
Last edited by a moderator:
Mh kwani ndoa ya MBASHA NAO ILIUNGANISHWA NA MUNGU! Kungu hawezi waunganisha watu wakawa vile ...sema wao walifungia ndoa kanisani !
Hawana jipya,waendezao huko. Sasa mahakama si dhani kama inavunja ndoa. Bali hutenganisha wanandoa pale panapojitokeza hali ya hatari kati yao. Ndoa ya kikristo haivunjwi isipokuwa kifo pekeee!!!!
 
Asubiri miakamiwili kama anakiwanja masaki amalizqne na Hakim wikiyatatuhanandoa
 
Hayanihusu nahisi nmekosea njia kufungua hapa... Yananihusu ya Khantwe tu baaas
 
Last edited by a moderator:
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe, Emmanuel Mbasha. Flora anadai sababu za kuomba kuvunja ndoa hiyo apewe talaka ni kutokana na tabia ya mumewe kumpiga, kumnyanyasa na kushindwa kumpatia matibabu.
Una lipi la kuwaambia wanandoa hawa?

Kwani ile kesi ya Emmanuel ya kubaka aliyokuwa akiishabikia Flora imekwisha?
 
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe, Emmanuel Mbasha. Flora anadai sababu za kuomba kuvunja ndoa hiyo apewe talaka ni kutokana na tabia ya mumewe kumpiga, kumnyanyasa na kushindwa kumpatia matibabu.
Una lipi la kuwaambia wanandoa hawa?

Shida ni moja hapo kwa wote,Frola alimtaka hb wa kuuzia sula nyakati zile za usichana,jamaa naye alimtaka huyu mdada kulenga maisha maana kidogo aliona anauchangachanga,kwa kifupi nadhani hapakua na mpango wa MUNGU hawa watu waishi pamoja.ni mtazamo tu lakini
 
Muda utazaungumza,mwenye haki ataonekana kabla ya umahuti wao....
 
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe, Emmanuel Mbasha. Flora anadai sababu za kuomba kuvunja ndoa hiyo apewe talaka ni kutokana na tabia ya mumewe kumpiga, kumnyanyasa na kushindwa kumpatia matibabu.
Una lipi la kuwaambia wanandoa hawa?

hayo ndo madhara ya kufuatana na mkeo kila mahali, anakuzoea vibaya!
 
Back
Top Bottom