Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,592
Tena una ugonjwa wa kufisha na ni mdanganyifu kuliko vitu vyote
Yeremia 17:9
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena una ugonjwa wa kufisha na ni mdanganyifu kuliko vitu vyote
You have a point Brother MTAZAMO . Ongezea nyama kidogo na hili neno:-
Warumi 10:9-10 ''Kama ukikiri kwa kinywa chako kuwa Yesu ni Bwana na ukiamini moyoni mwako kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka.10 Kwa maana mtu ana poamini moyoni mwake huhesabiwa haki, na anapokiri kwa kinywa chake, huokolewa''
Romans 10:9-10
''If you declare with your mouth, Jesus is Lord, and believe in your heart that God raised him from the dead, you will be saved.10 For it is with your heart that you believe and are justified, and it is with your mouth that you profess your faith and are saved''
Then my brother what do you see?
NB: Huwa napata shida kidogo hapa, Tunaposema (au maandiko yanaposema kuokoka) kuokoka ni kuokoka au kuokolewa against what? labda tuendelezee kujiuliza kuanzia hapo.
Asante sana kwa hilo andiko Mkuu MTAZAMO. Kati ya maswala yenye mkanganyiko mkubwa ni swala hili.
Tukianza na uchambuzi wa huyu ndugu hapo niliko bold inabidi tena tukayachunguze maandiko kwamba ndoa inaanzia wapi? kuishi pamoja au inaanzia kanisani au inaanzia mtu yeyote mke na mtu mume wanapokutana? au watu wawili wanapokubaliana, na je tunaposema wanakuwa mwili mmoja, ni kimwili au kiroho? Na je? Mmoja wapo anapoenda kulala na mwanaume au mwanamke mwingine, kimwili na kiroho kunatokea nini? na hayo yanayotokea yaweza kutengenezwa au kurekebishwa na nini? n.k n.k..... Tukishafahamu muunganiko uliko wa mtu mume na mtu mke, ndio twaweza anza kujua kuvunjika kwa huo muunganiko kunatokea wapi na kwa weza sababishwa na nini.
Mfano katika kiapo cha ndoa makanisani kuna sehemu wanasema ... nitakua WAKO na Nitakuwa mwaminifu kwako hadi kifo kitakapo tutenganisha.....(Je kutokuwa mwamininifu madhara yake ni nini? Ni kifo au kupoteza nafasi au uhalali wake kama mke au mume?...
Kwa maana tunamuona Adamu akiambiwa na Mungu akila tunda alilokatazwa HAKIKA ATAKUFA... lakini hatuoni akifa kimwili bali tunaona akifa kiroho (positionally) kwanza kutoka chini ya Mungu hadi kuwa chini ya shetani.. then vingine vikafuatia kufukuzwa na kadhalika) sijui kama nitaelewka vizuri hapa.. mniwie radhi (Adam ndio alikua anatawala dunia lakini baada ya dhambi tunaona maandiko yakimsema Shetani kama Mtawala(controller) wa dunia, Mungu wa dunia hii, Mkuu wa ulimwengu n.k nafasi ambayo ilikua kwa Adamu .... uzuri ni kwamba baada ya Yesu kuja, Adamu wa pili hawi tena chini ya Mungu bali anatawala pamoja na Mungu.
Kwa hio mtu mume anavyotoka nje ya agano/patano kufanya uasherati, anapoteza uhalali au nafasi yake kiroho kama mume au mke. hatukioni japo tunawaona wakiishi ila spiritually they are disjoined/dis connected.
Unasemaje hapo mkuu? nini maoni yako!! Naona mjadala unazidi kuwa mgumu aisee!!! ukisoma hilo andiko Yesu alilokua akiwajibu wale majamaa kuhusu talaka unaona nini?
Many thanks
mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili, flora mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe, emmanuel mbasha. Flora anadai sababu za kuomba kuvunja ndoa hiyo apewe talaka ni kutokana na tabia ya mumewe kumpiga, kumnyanyasa na kushindwa kumpatia matibabu.
Una lipi la kuwaambia wanandoa hawa?
Afadhali unenisaidia kuweka huo mstari wa kukiri....
Mtazamo alinifanya nijiulize maswali!
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe, Emmanuel Mbasha. Flora anadai sababu za kuomba kuvunja ndoa hiyo apewe talaka ni kutokana na tabia ya mumewe kumpiga, kumnyanyasa na kushindwa kumpatia matibabu.
Una lipi la kuwaambia wanandoa hawa?
Ngoja na wewe nikudai talaka ndo utajua yanakuhusu au lah...
Sshv hata aimbe vipi hatoki/hauzi
Kwani hiyo ndio ilifungwa mahakamani? Akimbilie kwa Mungu amuombe kama ataivunja coz alifunga yeye ...
Thank you i wish you the same ,may the almighty God bless you and fulfill your dreams for the coming new year and the Joy of our Lord Jesus Christ be with you always.You have said it all Ablessed .. Marry Christmas and happy new year to you and family dearest.
Hawawezi kuelewa .......mtu anahubiri alafu mwisho anasema nani ambaye "HAJAOKOKA" anataka "KUOKOKA" .......baada ya hapo anaambiwa sema maneno yafuatayo .........mtu akishasema maneno hayo anaambiwa "AMEOKOKA" .........What a joke? .........kuna wokovu kabla ya kubatizwa? Kimsingi hapo mtu ameamini kama hatua ya kwanza kuelekea kwenye wokovu.....then anabatizwa kama hatua nyingine kuelekea kwenye wokovu ........baada ya hapo anapaswa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu hata mwisho ili AOKOKE .......huwezi kutumia neno zito kuwa UMEOKOKA alafu kesho unaanguka dhambini .....ukianguka unaokoka tena baada ya kutubu?
Unasikia mhubiri anasema waliookoka tu ndio wataenda mbinguni ........anasahau kuwaambia ukweli kuwa watakaoishi maisha ya kumpendeza Mungu hata mwisho ndio Watakaokoka .........Wokovu ni ushindi wa mwisho wa Mkristu baada ya kushinda dhambi maisha yake yote hapa duniani ..........