Mwanamuziki wa nyimbo za injili Flora Mbasha amedai kuwa Emmanuel Mbasha hakuwa chaguo lake kwa sababu ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na mumewe huyo.
Source: gazeti Mzalendo.
Hivi inamaana walishaachana tokea ile movie ya Gwajima, shemejiye Mbasha, na mr&mrs Mbasha iliishia kuachana kabisa!
kwa maisha ya siku hizi kuoa ni kipajiMwanamuziki wa nyimbo za injili Flora Mbasha amedai kuwa Emmanuel Mbasha hakuwa chaguo lake kwa sababu ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na mumewe huyo.
Source: gazeti Mzalendo.
Hivi inamaana walishaachana tokea ile movie ya Gwajima, shemejiye Mbasha, na mr&mrs Mbasha iliishia kuachana kabisa!
Yule jamaa ni hendisamu mweh....
Jamaa anakosea,ingekuwa ni mimi ningemtafuta mrembo mkali,mbona flora kashazeeka libonge,huwezi kumfananisha na jamaa,ningekuwa Mimi ningeshukuru mungu kunifanya free ningeoa katoto cha kuanzia miaka 20,jamaa naye zumbekuku kweli
Watu wengine bwana...hivi Flora kinachomzuzua ni nini? Sura mbovu shepu hovyo..... Ningekuwa ndo mimi na sura yangu mbovu hii nipate mwanaume kama Emmanuel yan ningekuwa mpole kama nanyolewa
Hakuwa chaguo lake ina maana alilazimishwa? Hv wokovu wake uko wapi kama hawezi kusamehe? Mtoto mdogo anang'ang'ania talaka. Kwa hiyo maisha ya uzinzi ndio anayapenda! Flola kama unapita humu rudi kwenye ndoa yako huyo gwajima ipo siku atakutema tu. Au unadhani wewe ni special sana? I wish babu yako angekuwa hai sidhani kama angeshabikia ujinga unaoufanya. God will show u.