Flora Mbasha: Emmanuel hakuwa chaguo langu

Flora Mbasha: Emmanuel hakuwa chaguo langu

Kwani alilazimishwa kipindi anaolewa!'Miaka kumi ya ndoa bila doa'...
 
Jamaa anakosea,ingekuwa ni mimi ningemtafuta mrembo mkali,mbona flora kashazeeka libonge,huwezi kumfananisha na jamaa,ningekuwa Mimi ningeshukuru mungu kunifanya free ningeoa katoto cha kuanzia miaka 20,jamaa naye zumbekuku kweli

Tatizo jamaa anapenda ganda la ndizi
 
Tatizo jamaa anapenda ganda la ndizi

Kunywa milenda sio ufala ni kupenda, inzi kufa juu ya kidonda...
Vya utamu vinazaliwa vingi...
Mkubwa na wanawe, Yamoto band.
 
Watu wengine bwana...hivi Flora kinachomzuzua ni nini? Sura mbovu shepu hovyo..... Ningekuwa ndo mimi na sura yangu mbovu hii nipate mwanaume kama Emmanuel yan ningekuwa mpole kama nanyolewa

Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka
 
Mzee Kulola aliipinga sana hiyo ndoa!! Alisema Flora bado mdogo, na huyo kijana hajatulia... Wapambe kama kawaida wakaleta maneno eti wanamnyima sababu dreva taxi maskini!! Kumbe mzee alioba mbali

Mmmhhh bila kulola isingekuwepo hyo ndoa btw aliyekuwa mdogo ni emma alikuwa na 22 by then
 
Hawezi kwa sababu alimtumia flora kama mtaji...

Laiti mngejua aliyoyapitia na anayoendelea kuyapitia flora msingesema

Laiti mngejua uongo anaousambaza mume wa flora mngesikitika

Jamaa anakosea,ingekuwa ni mimi ningemtafuta mrembo mkali,mbona flora kashazeeka libonge,huwezi kumfananisha na jamaa,ningekuwa Mimi ningeshukuru mungu kunifanya free ningeoa katoto cha kuanzia miaka 20,jamaa naye zumbekuku kweli
 
Hawezi kwa sababu alimtumia flora kama mtaji...

Laiti mngejua aliyoyapitia na anayoendelea kuyapitia flora msingesema

Laiti mngejua uongo anaousambaza mume wa flora mngesikitika

Ni uongo upi ndo utuambie wewe sasa....sisi tunaongea na kutoa maoni juu ya yale tunayoyaona. Kama kuna yaliyo chini ya carpet ndo yasemwe
 
Hawezi kwa sababu alimtumia flora kama mtaji...

Laiti mngejua aliyoyapitia na anayoendelea kuyapitia flora msingesema

Laiti mngejua uongo anaousambaza mume wa flora mngesikitika
Flora ishu tu ye na pastor wake ni uwongo?zile tetesi za kupelekwa mpaka UK,akigombana kidogo na mme pastor anampeleka akaishi kwenye hotel,aisee hivi ushaangalia video za flora hata akiongea unajua ni msanii,hapo anataka talaka ili amegwe kwa uhuru
 
ndo ubaya wake,kuna mengine mwanaume lazima awe na maamuzi magumu ndo ataheshimika

Hayo ya utegemezi na mengine ndo hyo flora kayajua leo?

Uongo tu!

Ngoja Niwaambie kitu...mwanaume akitoka nje ya ndoa si rahisi ndoa kujuvunjika lkn mwanamke ni rahisi!Kwasbb Mungu alivyotuumba mwanamke ndo anabeba kila kitu.

Hili somo pana...ila kwa leo tuishie hapa
 
Flora ana lake,mwanamke mwenye akili sawa hawezi kumsingizia mmewe kabaka akitegemea afungwe miaka 30 jela
 
'Nakupendaa,mpenzi wanguuu!maana wewe ulinipendaaa!,ukanichaguaaa niwe wakooo!!Kukupenda sitoachaaa!Maishani yangu yotee!!..."M
 
Back
Top Bottom