Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Kwa maslahi ya neno la Mungu na Mungu mwenyewe, Flora Mbasha aache kwanza kuimba nyimbo za Injili. Ni aibu kubwa, na hasa ukizingatia kuwa kesi dhidi ya ex-husband wake ilikuwa na figisufigisu zinazoonyesha kuwa hata yeye mwenyewe alihusika. Aache kumtania MUNGU, YEHOVA.
 
Kwani toka awali alikuwa akiimba kwa ajili ya Mungu au kwa ajili ya soko. Mungu anasema hata 'mawe' yaweza kumuimbia utukufu. Kwani tunajua status ya ukiroho wa kila muimbaji, hata wale wanaoimba makanisani mwetu? Njia rahisi ni kujiepusha kufanya hukumu.
 
mbasha naye ubishoo amezidi khaah!!..halafu ni kama huwa anajipodoa usoni

Flora funga ndoa mwaya maisha yenyewe yako wapi kujipa stress na bishoo (mume kama boyfriend inahusu!)
Naona una Autism ww
 
Ukute madam kamvumilia sana Mbasha mengine hawezi sema. Ukute jamaa ana kibamia au mnara unanyanyuka kwa majira. Kwenye ndoa za watu kuna mambo mengi sana watu wameyaficha moyoni. Kwahiyo msimlaumu sana Frola kwa uamuzi wake.
kwani huyo anaeenda olewa nae anajua ana mapungufu gani au ndo bahat na sibu ina maana akimkuta mbaya zaid itakuaje? isitoshe hajakaa mda mrefu toka adivorce anajump kwa kakijana kengine hata maumiv hajasahau hii ni hatari kwake.ni mtazamo tu
 
 
haha kumbe akiwa kwa ndoa na kuchepuka?
 
wimbo mmoja zilipendwa baadhi ya maneno yake "katika hali yoyote kaeni kwa amani nawausia mpaka kifo kiwatenganishe".. mwenye nao ama hata kujua unaitwaje au umeimbwa na nani anisaidie please
Patrick Balisidya. RIP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…