TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 582
Kwani wewe hakuoni?Mungu anamwona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe hakuoni?Mungu anamwona
Kwani toka awali alikuwa akiimba kwa ajili ya Mungu au kwa ajili ya soko. Mungu anasema hata 'mawe' yaweza kumuimbia utukufu. Kwani tunajua status ya ukiroho wa kila muimbaji, hata wale wanaoimba makanisani mwetu? Njia rahisi ni kujiepusha kufanya hukumu.Kwa maslahi ya neno la Mungu na Mungu mwenyewe, Flora Mbasha aache kwanza kuimba nyimbo za Injili. Ni aibu kubwa, na hasa ukizingatia kuwa kesi dhidi ya ex-husband wake ilikuwa na figisufigisu zinazoonyesha kuwa hata yeye mwenyewe alihusika. Aache kumtania MUNGU, YEHOVA.
Naona una Autism wwmbasha naye ubishoo amezidi khaah!!..halafu ni kama huwa anajipodoa usoni
Flora funga ndoa mwaya maisha yenyewe yako wapi kujipa stress na bishoo (mume kama boyfriend inahusu!)
Hivi wewe hao watu wenye majina ya Daudi unawaonaga wako kamili?Huyo Daudi kaamua kujilipua
kwa kuwa nimesema usichotaka kukisikia? mmekaa mnam judge frola utafikiri mmeishi naye !!Naona una Autism ww
kwani huyo anaeenda olewa nae anajua ana mapungufu gani au ndo bahat na sibu ina maana akimkuta mbaya zaid itakuaje? isitoshe hajakaa mda mrefu toka adivorce anajump kwa kakijana kengine hata maumiv hajasahau hii ni hatari kwake.ni mtazamo tuUkute madam kamvumilia sana Mbasha mengine hawezi sema. Ukute jamaa ana kibamia au mnara unanyanyuka kwa majira. Kwenye ndoa za watu kuna mambo mengi sana watu wameyaficha moyoni. Kwahiyo msimlaumu sana Frola kwa uamuzi wake.
Biblia inasisitiza sana kusameheana na inasema asiye samehe wengine bila kujali aina ya kosa, basi hata yeye Mungu hatamsamehe mtu huyo.
Kuhusu kisa cha hawa wawili, Flora ndiye aliye mwacha Emma, wakati ule Emma alimbembeleza sana Flora wasahau tofauti zao warudi waishi kwenye ndoa yao lakini Flora alikataaa kata kata hata kumtia aibu mumewe. Wakati huo Flora alikuwa anahatia mbele za Mungu kwa kuvunja ndoa na kukataa msamaha wa mumewe.
maana biblia inasema mtu akikosa hata saba
mara sabini kwa siku akija na kuomba msamaha, msamehe.
Baada ya kesi kwisha, Flora alimtaka mume wake amsamehe warudiane, kakini Emma alikataa katakata. Hivyo hatia ikageuka kwa Emma.
Kwa sababu hiyo Flora amehesabiwa haki kwa sababu aliomba msamaha kabla Emma hajaoa lakini Emma alikataa, kibiblia hata Mungu hajamsamehe Emma dhambi zake kwa kukataa kumsamehe Flora. hivyo Emma anahesabiwa kama mdhambi tu aliye amua kumwacha mkewe.
Hivyo Flora aliye tubu anapata uhalali wa kuolewa kwa neno linalosema:- yeye asiye amini akitaka kuondoka na aondoke, ndipo huyo ndugu mume au mke yu huru.
mh kumbe ni rahisi ivo kuvunja! bado haihalalishh mbona adam alivomwambia Mungu c mimi bal ni huyu mwanamke ulienipa aliwaadhibu wote? ni suala la Muda wangepeana wangerudiana bt mke kashaharibu
Kwa sasa Flora yuko huru
kuolewa kwa sababu Emma kamwacha kwa kukataa kumsamehe pale Flora alipoomba Emma amsamehe warudiane.
Emma atabaki na hatia.
Biblia inasema heri kuoa au kuolewa kuliko kuwaka tamaa. Flora bado kijana sana. Hana hatia kabisa mwacheni aolewe amtumikie Mungu vizuri.
HAPPY WEDDING FLORA.
haha kumbe akiwa kwa ndoa na kuchepuka?Kila mtu na imani yake ndugu, tuacheni kujivika utakatifu wa kujikalilisha. Hao wachungaji, mapadri na mashekhe wengi tu nishawahi kuwaona wakiwa na nyumba ndogo na ufuska kibao. Ulitaka Flora aishii maisha ya ki lesbians? Nashangaa sana watu mmeshupalia jambo la kawaida tu. Tena nikujulishe tu kuwa huyo kijana ni jirani yangu na wako na mahusiano kitambo hivyo hawajakurupuka. Hivi ni lini mara ya mwisho wewe umefanya sex na kwa nini? Pia ulitaka madam Flora aishi kama Watawa na wakati si Mtawa?
Patrick Balisidya. RIP.wimbo mmoja zilipendwa baadhi ya maneno yake "katika hali yoyote kaeni kwa amani nawausia mpaka kifo kiwatenganishe".. mwenye nao ama hata kujua unaitwaje au umeimbwa na nani anisaidie please