Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Aisee Maisha ya ndoa magumu sana juzi kati mama kaniambia nimekua nioe nikamwambia anipe miaka mitano mingine.
kuna mandhari nzuri sana hapo wanapokwenda kufanyia sherehe hicho tu kimenifanya nichangie hapa tofauti na hapo dada yetu Huyu tunamtakia kila la heri. Kwasababu imeandikwa tusihukumu nasi tusije hukumiwa
 
mbasha naye ubishoo amezidi khaah!!..halafu ni kama huwa anajipodoa usoni

Flora funga ndoa mwaya maisha yenyewe yako wapi kujipa stress na bishoo (mume kama boyfriend inahusu!)
Hilo neno inahusu huwa linanivunja mbavu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tunamdhihaki Mungu. Hivi Flora kaamua kuwa mzinzi wa waziwazi na anaalika watu washuhudie usharati wake. Mume Wa ujana wake Yuko wapi? Je bado nyimbo zake zitakuwa Na ujumbe wa injili? Akaimbe kwasakwasa!!! Hivi mzeee Ndiyooooo!!!!!! Angekuwepo angekubali kuona uozo huuuuuu????
 
Siri za flora Mbasha wa Daudi. Teh teh teh teh ... uzuri wake mwanamke ni kama Ua huwa hawachelewi kunyauka . Muda utaongea Emanuel endelea kuwa mvumilivu mpole na mwenye hekima. Majira na wakati utafika tu kila jambo na majira yake.
Tumeyaona ya akina Wema sepetu kujiita Madame.
Lets wait and see.
 

Alipopoteza Mme kia aina aina, baraka zake, mh sijui bwana, labda kama neno la Mungu limepinda!!!!!!!
 
mbasha naye ubishoo amezidi khaah!!..halafu ni kama huwa anajipodoa usoni

Flora funga ndoa mwaya maisha yenyewe yako wapi kujipa stress na bishoo (mume kama boyfriend inahusu!)
Tatizo alishaweka ahadi mpaka kifo, hakuna kitu kibaya kama kuahidi usichoweza kutimiza. Hapa itabidi nahairishe kujifunga pingu mpaka nifikishe 65, kama nikiwekwa hai.
 
Hebu someni maandiko vizuri najua alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe isipokua kifo au uzinzi so ukithibitisha mwezako anachepuka talaka tu ingawa Mungu haipendi kwakua hapendi kuachana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…