jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Kabisa waache waoane tu m sina mpango kwa kweli dah!....huku kimoyomoyo ukimwambia utasubiri saaana bi mkubwa!;
..waache waowane!
Tende Halua![emoji16]Haina makombo
Hahahaha mkuu biblia si inaruhusu kuachana sababu ya uzinzi?bado anaimba gospel tu?, shame on her!!
lakini inasisitiza pia ukioa tena au kuolewa tena una zini, [emoji28]Hahahaha mkuu biblia si inaruhusu kuachana sababu ya uzinzi?
sikumbuki kitabu,lkn uko sahihi,amwoaye alieachwa nae anazini.Kibiblia huyo Daudi, haitajiwi kumwoa flora, mpaka mbasha Mungu amchukue!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]lakini inasisitiza pia ukioa tena au kuolewa tena una zini, [emoji28]
yaan bible ni very technical, akizini waweza mwacha lakini uhakikishe huoi au huolewei tena [emoji28]
Kwamba mwanaume hana uwezo wa kuamua kama aendelee na ndoa au la? Umedanganya.Nimeamini mwanamke ndiye anaeamua ndoa iendelee ama la, hongera Flora wewe ndo unayejua moto wa ndoa yako ya Kwanza. WANAWAKE WENGINE WANAVUMILIA SABABU YA WATOTO TU.