Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Usitudanganye!Nawapenda wazungu akikwambia napenda inatoka Moyoni siyo sisi ndo maana mmoja akiasi na ikathibitika hivyo wanamwagana maisha yanaendelea
Au hawana furaha hata kidogo wanaiogopa "until death do us apart"Olewa Florah mwayego.Hawa wanaokuhukumu wao wanaishi kwa furaha telee
Aolewe mwenzangu,hawa wanaomtukana hapa wanaweza kuwa waasherati wa kutupwa.People are tooo judgemental in here.
Au hawana furaha hata kidogo wanaiogopa "until death do us apart"
Wanaishi unafiki tu.
My dear si unajua dhambi ni zile wanazofanya wenzetu ila zetu sio dhambi!![emoji87] [emoji87] [emoji87]Aolewe mwenzangu,hawa wanaomtukana hapa wanaweza kuwa waasherati wa kutupwa.
yani mtu atembee na mdogo wako ukomae tu...kwanza Mbasha alikuwa kifyagio.
Sijaelewa kwanini umeniquote maana nilichoandika naona kama hakina mahusiano na ulichoandika.Nasema Kweli sidanganyi, waulize wajuvi na wenye exposure watakwambia ! Wazungu waliowengi huwa wana maanisha kile wanachokisema na watii wazuri wa sheria bila shuruti! Usilinganishe sana na wale wahuni wa kwenye filamu za kizungu! Hivi waweza amini kuwa Mzungu halisi huwa na adabu na heshima ktk usemi, mavazi na mwenendo? Wazungu wahuni na waenda uchi ni wale wa kwenye video na mitandao!
Umenena vema. Nashangaa watu wanavyomuhukumu utafikiri wanajua aliyokua anapitiaNimeamini mwanamke ndiye anaeamua ndoa iendelee ama la, hongera Flora wewe ndo unayejua moto wa ndoa yako ya Kwanza. WANAWAKE WENGINE WANAVUMILIA SABABU YA WATOTO TU.
Mpumbavu kweli ndoa ya kikristo anaolew Mara mbili, I wish angekuwa anasoma hizi commentsbado anaimba gospel tu?, shame on her!!
nadhani neno mpumbavu lina mfaa kabsaMpumbavu kweli ndoa ya kikristo anaolew Mara mbili, I wish angekuwa anasoma hizi comments
Hisia zipi sasa? Mume wake c amembembeleza arudi amekataa, anawashwa bhanaNae ni binadam .. Ana hisia
Sasa hivi unayo mingapi mkuuAisee Maisha ya ndoa magumu sana juzi kati mama kaniambia nimekua nioe nikamwambia anipe miaka mitano mingine.
Umeona eeh...hasa wanaumePeople are tooo judgemental in here.
Ukute madam kamvumilia sana Mbasha mengine hawezi sema. Ukute jamaa ana kibamia au mnara unanyanyuka kwa majira. Kwenye ndoa za watu kuna mambo mengi sana watu wameyaficha moyoni. Kwahiyo msimlaumu sana Frola kwa uamuzi wake.Nimeamini mwanamke ndiye anaeamua ndoa iendelee ama la, hongera Flora wewe ndo unayejua moto wa ndoa yako ya Kwanza. WANAWAKE WENGINE WANAVUMILIA SABABU YA WATOTO TU.
Yaani wanaume wa humu kwa utakatifu tu hawajambo. Damn!!Umeona eeh...hasa wanaume
Yes I do love.i don think so[emoji53]
Halafu mtu awezi akaacha ndoa bila sababu,kitanda usichokilalia huwezi fahamu kunguni wake,au adhabu ya kaburi aijuaye maiti tu.Ukute madam kamvumilia sana Mbasha mengine hawezi sema. Ukute jamaa ana kibamia au mnara unanyanyuka kwa majira. Kwenye ndoa za watu kuna mambo mengi sana watu wameyaficha moyoni. Kwahiyo msimlaumu sana Frola kwa uamuzi wake.
Aibu aibu Flora hawezi kuiona pepo na kwa tendo amemtenda mume wake asubiri mapigo ambayo hatosahau maishani mwake.Mwimbaji wa muziki wa Injili nchini, Madame Flora (Flora Mbasha zamani), Jumapili ya wiki ijayo anatarajia kufunga ndoa na mume wake mtarajiwa Daudi Kusekwa katika bustani za hoteli ya Rock Beach jijini Mwanza.
Madame Flora ameliambia Swaggaz kuwa ndoa hiyo itaambatana na uzinduzi wa albamu yake mpya inayoitwa Wakati Wake pamoja na kitabu alichokipachika jina la Siri za Flora Mbasha.
“Ndoa itafungwa asubuhi na jioni kutakuwa na sherehe ya harusi, utambulisho wa albamu yangu mpya pamoja na kitabu, watu wote wanakaribishwa kadi zimebaki chache tu kutokana na idadi ya ambayo imepangwa na kamati,” alisema Flora.
Chanzo. Mtanzania
FactHalafu mtu awezi akaacha ndoa bila sababu,kitanda usichokilalia huwezi fahamu kunguni wake,au adhabu ya kaburi aijuaye maiti tu.