Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Ndoa nyingi Watu wanaishi kimkanda mkanda tu, Kama umri ungerushwa nyuma kila Mtu angewish aoe au aolewe na Mtu mwingine na siyo huyo alonae!
 
Au hawana furaha hata kidogo wanaiogopa "until death do us apart"
Wanaishi unafiki tu.

Nasema Kweli sidanganyi, waulize wajuvi na wenye exposure watakwambia ! Wazungu waliowengi huwa wana maanisha kile wanachokisema na watii wazuri wa sheria bila shuruti! Usilinganishe sana na wale wahuni wa kwenye filamu za kizungu! Hivi waweza amini kuwa Mzungu halisi huwa na adabu na heshima ktk usemi, mavazi na mwenendo? Wazungu wahuni na waenda uchi ni wale wa kwenye video na mitandao!
 
Aolewe mwenzangu,hawa wanaomtukana hapa wanaweza kuwa waasherati wa kutupwa.
yani mtu atembee na mdogo wako ukomae tu...kwanza Mbasha alikuwa kifyagio.
My dear si unajua dhambi ni zile wanazofanya wenzetu ila zetu sio dhambi!![emoji87] [emoji87] [emoji87]

Si kifyagio tu bali na kumcontrol mke kwa kila kitu, account zote ni za mume mke haruhusiwi, akiuliza ni kipigo.
Uvumilie yote hayo kisa unataka kuwafurahisha wanadamu!!!!
 
Nasema Kweli sidanganyi, waulize wajuvi na wenye exposure watakwambia ! Wazungu waliowengi huwa wana maanisha kile wanachokisema na watii wazuri wa sheria bila shuruti! Usilinganishe sana na wale wahuni wa kwenye filamu za kizungu! Hivi waweza amini kuwa Mzungu halisi huwa na adabu na heshima ktk usemi, mavazi na mwenendo? Wazungu wahuni na waenda uchi ni wale wa kwenye video na mitandao!
Sijaelewa kwanini umeniquote maana nilichoandika naona kama hakina mahusiano na ulichoandika.

BTW hongera kwa kuoa mzungu wa kweli.
 
Nimeamini mwanamke ndiye anaeamua ndoa iendelee ama la, hongera Flora wewe ndo unayejua moto wa ndoa yako ya Kwanza. WANAWAKE WENGINE WANAVUMILIA SABABU YA WATOTO TU.
Umenena vema. Nashangaa watu wanavyomuhukumu utafikiri wanajua aliyokua anapitia
 
Nimeamini mwanamke ndiye anaeamua ndoa iendelee ama la, hongera Flora wewe ndo unayejua moto wa ndoa yako ya Kwanza. WANAWAKE WENGINE WANAVUMILIA SABABU YA WATOTO TU.
Ukute madam kamvumilia sana Mbasha mengine hawezi sema. Ukute jamaa ana kibamia au mnara unanyanyuka kwa majira. Kwenye ndoa za watu kuna mambo mengi sana watu wameyaficha moyoni. Kwahiyo msimlaumu sana Frola kwa uamuzi wake.
 
Halafu mtu awezi akaacha ndoa bila sababu,kitanda usichokilalia huwezi fahamu kunguni wake,au adhabu ya kaburi aijuaye maiti tu.
 
Mwimbaji wa muziki wa Injili nchini, Madame Flora (Flora Mbasha zamani), Jumapili ya wiki ijayo anatarajia kufunga ndoa na mume wake mtarajiwa Daudi Kusekwa katika bustani za hoteli ya Rock Beach jijini Mwanza.

Madame Flora ameliambia Swaggaz kuwa ndoa hiyo itaambatana na uzinduzi wa albamu yake mpya inayoitwa Wakati Wake pamoja na kitabu alichokipachika jina la Siri za Flora Mbasha.

“Ndoa itafungwa asubuhi na jioni kutakuwa na sherehe ya harusi, utambulisho wa albamu yangu mpya pamoja na kitabu, watu wote wanakaribishwa kadi zimebaki chache tu kutokana na idadi ya ambayo imepangwa na kamati,” alisema Flora.

Chanzo. Mtanzania
Aibu aibu Flora hawezi kuiona pepo na kwa tendo amemtenda mume wake asubiri mapigo ambayo hatosahau maishani mwake.
 
Back
Top Bottom