Ndoa ina chungu na tamu lakn kama ndoa imekushinda bora uishi maisha ya imani umlilie Mungu sasa kulikoni anawachanganya wakristo kwa anayoyafanyaUkute madam kamvumilia sana Mbasha mengine hawezi sema. Ukute jamaa ana kibamia au mnara unanyanyuka kwa majira. Kwenye ndoa za watu kuna mambo mengi sana watu wameyaficha moyoni. Kwahiyo msimlaumu sana Frola kwa uamuzi wake.
All in all, ni maamuzi yake na kama ni dhambi wote tumewahi tenda. Hakuna adhabu ndogo na kubwa. Tumtakie maisha mema katika ndoa yake mpya.Ndoa ina chungu na tamu lakn kama ndoa imekushinda bora uishi maisha ya imani umlilie Mungu sasa kulikoni anawachanganya wakristo kwa anayoyafanya
Ukitupa wenzio waokota...tehYaani wanaume wa humu kwa utakatifu tu hawajambo. Damn!!
Uvumilivu huwa unatafsiriwa vibaya sana, hata Mungu alituambia tuwe na kiasi.Uvumilivu ni kila kitu ktk mahusiano na ndoa asikwambie mtu, kukimbia sio hitimisho, tujifunze kusamehe japo tunaumizwa
Makanisa "ya sasa" ndio yapi hayoSishangai sana frola kufanya hilo haya in matokeo ya makanisa ya sasa wao kuvunja ndoa ni jambo LA kawaida kwao.wao wanahubiri injili ya mafanikio tu .mambo ya ndoa si shida.utafiti unaonyesha haya makanisa mapya yamevunja ndoa nyingi sana
Hizi lugha sijui ndoa ni uvumilivu, sijui mpaka kifo kitakapowatenganisha zimekuwa ndo kichaka cha baadhi ya wanandoa (hasa wanaume) kufanya maovu wakijua hakuna kuachana...Uvumilivu huwa unatafsiriwa vibaya sana, hata Mungu alituambia tuwe na kiasi.
Kweli kabisa, na wanawake kugeuka watumwa wa ndoa.Hizi lugha sijui ndoa ni uvumilivu, sijui mpaka kifo kitakapowatenganisha zimekuwa ndo kichaka cha baadhi ya wanandoa (hasa wanaume) kufanya maovu wakijua hakuna kuachana...
Kiria moja ilikuwa kanisani nyingine bomaniNaye anaandika Historia ya kuvaa shela mara mbili, huku mume wa kwanza akiwa hai, Historia hii pia iliwahi kuandikwa na Joyce Kiria alipofunga ndoa mara ya pili na Kilewo.
[emoji106]Hebu someni maandiko vizuri najua alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe isipokua kifo au uzinzi so ukithibitisha mwezako anachepuka talaka tu ingawa Mungu haipendi kwakua hapendi kuachana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we ukisema cha nn kuna mwenzio anajiuliza atakipata lnMchungaji fulani aliwahi kuuliza kuwa kwa nini baadhi ya wanaume wanapenda kula makombo? Hivi hawaoni kinyaa? Mwanaume mwenzako anatupa na wewe unafurahia kuokota makombo.
Huyo mtoto baba yake sio huyo bwanaharusi?!Flora ana mtoto( 3yrs old) na mwanaume mwingine