Yoote kenda kumi ninawaonea huzuni mliokuwa mnamsingizia Gwaji kuwa ndiye kavunja ndoa ileee. Jamani, wekeni akiba maneno. Haya, aliyempa kinda huyooo kajitokeza hadharani.
Nilipo soma jina daudi nkadhani anamalizia yuleee wa kolomije. Lakini yule ni bingwa wa kubadili majina, mbona hata uwanja wa harusi ni The Rock City?? Nawaza tu lakini.
Hongera Flora, kwa kulitukanisha hili jina lipitalo majina yoote. Jina la Yesu Kristo Mnazareti. Ole ni wake huyo mchungaji mwenye moyo mgumu kihivyo wa kumpa mkono wa kheri mzinzi huyo.
Lakini pesa sabuni ya roho. Kama ilivyo kilainishi ni muhimu kwenye mitambo, pesa pia ni kilainishi kwenye vikwazo vya kiroho. Watumishi, mmefikwaaaaa