Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Kila mtu na imani yake ndugu, tuacheni kujivika utakatifu wa kujikalilisha. Hao wachungaji, mapadri na mashekhe wengi tu nishawahi kuwaona wakiwa na nyumba ndogo na ufuska kibao. Ulitaka Flora aishii maisha ya ki lesbians? Nashangaa sana watu mmeshupalia jambo la kawaida tu. Tena nikujulishe tu kuwa huyo kijana ni jirani yangu na wako na mahusiano kitambo hivyo hawajakurupuka. Hivi ni lini mara ya mwisho wewe umefanya sex na kwa nini? Pia ulitaka madam Flora aishi kama Watawa na wakati si Mtawa?

na we usiongee maneno mengiiii kama umeandika la maana!

kisheria na kidini flora/emmanuel hastahili kuolewa /kuoa tena!
hawajapeana talaka na wote wapo hai!

AMEAMUA TU KUTII KIU YAKE!
of WHICH I UNDERSTAND ,anyway!
 
Mungu huwa analipa hapa hapa duniani. Believe me huwa mwanamke atakipata anachostahili.
 
Hiyo ndoa ni ya kufungua kwa mkuu wa wilaya au mchungaji? Na kama ni mchungaji atakuwa wa kanisa gani? Na hiyo album inahusu mahubiri ya mtume na mtakatifu bashite au Yesu Kristo? Na huyo muoaji anajielewa au ni zuzu?
 
Hivi kumbe inawezekana ukaachana na mwanaume bado ukaendelea kutumia jina lake?I mean Flora Mbasha hilo jina la Mbasha si la mumewe Imma?Au analilipia?
 
Siri za flora Mbasha wa Daudi. Teh teh teh teh ... uzuri wake mwanamke ni kama Ua huwa hawachelewi kunyauka . Muda utaongea Emanuel endelea kuwa mvumilivu mpole na mwenye hekima. Majira na wakati utafika tu kila jambo na majira yake.
Tumeyaona ya akina Wema sepetu kujiita Madame.
Lets wait and see.


Fanya kazi wewe na angalia maisha yako, kwa hiyo unakaa ukitegea kusubiri Flora apate shida ili ufurahie? Tafuta hobby kama hauna na acha kufwatilia maisha ya watu!
 
Kuna baadhi yetu wanaume tuna roho ngumu kwakweli!..
 
Hebu someni maandiko vizuri najua alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe isipokua kifo au uzinzi so ukithibitisha mwezako anachepuka talaka tu ingawa Mungu haipendi kwakua hapendi kuachana.
Lakini baada ya hapo hamruhusiwi kuingia kwenye ndoa mpaka mmoja wenu afe. Labda Imma ataaga hizi siku zilizobaki tusubiri..
 
Umenena vema. Nashangaa watu wanavyomuhukumu utafikiri wanajua aliyokua anapitia
Mi nadhani anahukumiwa kutokana na yeye kuaminika kama mtumishi wa Mungu kumbe la! Sidhani kama angekuwa mwanamke wa kawaida ingekuwa issue..
 
Halafu mtu awezi akaacha ndoa bila sababu,kitanda usichokilalia huwezi fahamu kunguni wake,au adhabu ya kaburi aijuaye maiti tu.
Ishu ni kuolewa tena, ila kama ameacha alichokuwa anaamini mwanzo ni sawa..
 
Hivyo Flora aliye tubu anapata uhalali wa kuolewa kwa neno linalosema:- yeye asiye amini akitaka kuondoka na aondoke, ndipo huyo ndugu mume au mke yu huru.
Pumbavu kabisa wewe...

Unajua maana ya kiapo cha ndoa..


Ohhh! Nimesahau...walokole ni kama nguruwe tuu...Kuoa na kuacha inaruhusiwa huko kwenya makanisa yenu uchwara
 
Aisee Maisha ya ndoa magumu sana juzi kati mama kaniambia nimekua nioe nikamwambia anipe miaka mitano mingine.
Acha uoga wa maisha wewe,dawa sio kuahirsha,unatakiwa uyaingie maisha mapema,unataka kuoa ukiwa na miaka 45?
 
Back
Top Bottom