Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha walaumiana SHILAWADU

Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha walaumiana SHILAWADU

Alafu huyu E.Mbasha ni mzembe sana, sasa mawasiliano ya nini chakufanya mpeane muda wa kukaa na mtoto labda kipindi cha likizo awe anakuja
 
Huyu mbasha mpuuzi kweli kapewa vyote hivyo na bado alikuwa anataka kumuingilia flora kinyume na maumbile
Duh nani kayasema haya?,ni frolah au umesikia tu vijiweni?

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Divorce,watoto wanakuwa victims.Mimi nahate divorce kabisa,na ni uselfish wa kipumbavu.
Umeongea vyema mkuu na Mungu akubariki......USELFISH WA KIPUMBAVU, nami naongeza wa kipumbavu kabisa.
 
Afatile shule mtoto anaposoma,

awache kabisa kumpigia mke wa mtu simu kwa kigezo cha mtoto

Hawa ndiyo aina ya wanaume wanaofanya wanawake wenye watoto wasiolewe kwa kero zao za simu!!!!!!!!
Mkuu umesikiliza lakini au umeamua tu kulaumu?! Mbasha hajawahi kuuliza lolote kuhusu mtoto wala kumuona, anae lalamika kutopigiwa simu ni Flora na si Mbasha, Flora alimuhamisha shule mtoto akampeleka shule nyingine ili tu Mbasha asiweze kumuona akihofu mtoto atatoroshwa, usimlaumu Mbasha kabisa hana muda wa kumfuatilia huyu mwanamke ila inaonekana Flora ndio anataka kiki kwa kumuongelea Mbasha..
 
Mtalaka Hatongozwi..

Huyo bwege aliyejifanya kumuoa FLORA avumilie tuu..Hao wataendelea kuduu kila siku..asubirie tuu..it's just a matter of time. ..
Hakunaga ndoa hapo wala nin.MBASHA kaza buti wataachana tuu...mpigie simu hata wakiwa kwenye penalty box..mtumie sms mdawowote...MUNGU ANAITAMBUA NDOA YAKO NA SIO HAO MALAYA WAWILI..

Kwahiyo flora anataka kujifanya yeye gwiji lakugongana? Anauwezo WA vingapi kwa siku.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kiki za kutengeneza ili ku market na kuuza kitabu alichoandika?????......unaweza kuta wamepanga mashabiki mnatoana macho ..wao wanacheka tuu mapesa yanaingia!
 
Huyu mbasha mpuuzi kweli kapewa vyote hivyo na bado alikuwa anataka kumuingilia flora kinyume na maumbile
Upuuzi wake unatoka wapi na umesema alipewa vyote?ht huko nyuma alipewa alivyotaka kwa mujibu wako"alipewa vyote"
 
Hawa bado wanakulana....Hizi maneno maneno wanajiribu kumpiga chenga ya mwili mume mpya
 
Back
Top Bottom