Activity Ratio
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 554
- 577
Duh nani kayasema haya?,ni frolah au umesikia tu vijiweni?Huyu mbasha mpuuzi kweli kapewa vyote hivyo na bado alikuwa anataka kumuingilia flora kinyume na maumbile
Umeongea vyema mkuu na Mungu akubariki......USELFISH WA KIPUMBAVU, nami naongeza wa kipumbavu kabisa.Divorce,watoto wanakuwa victims.Mimi nahate divorce kabisa,na ni uselfish wa kipumbavu.
Mkuu umesikiliza lakini au umeamua tu kulaumu?! Mbasha hajawahi kuuliza lolote kuhusu mtoto wala kumuona, anae lalamika kutopigiwa simu ni Flora na si Mbasha, Flora alimuhamisha shule mtoto akampeleka shule nyingine ili tu Mbasha asiweze kumuona akihofu mtoto atatoroshwa, usimlaumu Mbasha kabisa hana muda wa kumfuatilia huyu mwanamke ila inaonekana Flora ndio anataka kiki kwa kumuongelea Mbasha..Afatile shule mtoto anaposoma,
awache kabisa kumpigia mke wa mtu simu kwa kigezo cha mtoto
Hawa ndiyo aina ya wanaume wanaofanya wanawake wenye watoto wasiolewe kwa kero zao za simu!!!!!!!!
Upuuzi wake unatoka wapi na umesema alipewa vyote?ht huko nyuma alipewa alivyotaka kwa mujibu wako"alipewa vyote"Huyu mbasha mpuuzi kweli kapewa vyote hivyo na bado alikuwa anataka kumuingilia flora kinyume na maumbile
TUNAWAONASHILAWADU SHILAWADU
Wanakula tu ubuyu mkuuTUNAWAONA
TUNAWAONA.
Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanakula tu ubuyu mkuu
Afatile shule mtoto anaposoma,
awache kabisa kumpigia mke wa mtu simu kwa kigezo cha mtoto
Hawa ndiyo aina ya wanaume wanaofanya wanawake wenye watoto wasiolewe kwa kero zao za simu!!!!!!!!