Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

Mwanamuziki wa Injili nchini, Flora Mbasha amesema kuwa watu wamuache na maisha yao kati yake na Mbasha kwani mapenzi ni kitu binafsi kati ya watu wawili na anaishi kama anavyotaka na sio kama watu wanavyotaka aishi

Amedai kuna watu wanajifanya wanamjua maisha yake kuliko yeye na kumbe sivyo, pia kwa sasa anataka afahamike kama Madam Flora na sio Flora Mbasha kwa kuwa kuna talaka ipo kwenye process

tusi muhukumu huyu Binti bali tumwombee. Mambo mengine niyakoroho na siyo ya kimwili.

Tumwombee Mungu amsaidie kwamba kila jambo baya shetani yupo nyuma yake.

Talaka hata akipewa na kuachana na ndugu hiyo siyo mwisho wa matatizo ikiwa shida niyakiroho.
 
Ya kwangu yananishinda;nitaanza kuyaombea mahusiano ya Flora Mbasha!Miaka kumi tu ya ndoa akafanya sherehe na Tamasha kubwaaa!Ndio ajifunze sasa kumshukuru Mungu kimya kimya sio kudolishia
 
Walitoa ushuhuda.
wakati wakitoa historia ya penzi lao 'tamu' na 'tukufu' katika gazeti kipindi walipotimiza miaka kumi ya ndoa,waliipa jina 'miaka kumi ya ndoa bila DOA'.
Unajua watu huwa wanasahau, unapojisifu sana shetani anajipanga akuvuruge sasa baada ya mtu luendelea kuwa mtii kwa Mungu ujuaji unakua mwingiii, ndio hivyo. Ila ndoa zina shida sanaa
 
Kama mwanamuziki wa nyimbo za injili alipaswa kuwa mfano mzuri ila kwa anayoyafanya namshauri aachane na muziki wa injili aimbe nyimbo za kidunia tu maana huko ndiko anakofaa.
Ndoa zina mengi. Huwezi jua nini kilimsibu mpaka kuamua alichoamua. Kumbuka naye ni binadamu na kuimba nyimbo za injili hakumpi kinga ya masahibu ya ndoani
 
Mwanamuziki wa Injili nchini, Flora Mbasha amesema kuwa watu wamuache na maisha yao kati yake na Mbasha kwani mapenzi ni kitu binafsi kati ya watu wawili na anaishi kama anavyotaka na sio kama watu wanavyotaka aishi

Amedai kuna watu wanajifanya wanamjua maisha yake kuliko yeye na kumbe sivyo, pia kwa sasa anataka afahamike kama Madam Flora na sio Flora Mbasha kwa kuwa kuna talaka ipo kwenye process

Wakuache vip? Lazima uchambuliwe na ufanyiwe discusses ya hatari sana, kwa kuwa ni super star [emoji93]
 
Sijawahi kumuelewa huyu Dada. Ni bora aimbe taarabu tu.
 
Duh, ndoa ya kanisani hii imefika hapa. Tumshirikishe Mungu kwenye ndoa jamani. Mzee aliondoka na upako wa ndoa yao nini?
kwenye kiapo tunaapa hivi

shida na raha mema na mabaya!nitakua na wewe bega kwa bega
ntakushirikisha kwenye Mali zangu zote

na Pete hii ni ishara ya uaminifu nakuvalisha

kama hayo ameshindwa kutimiza na kuvumilia AHADI inavunjika kabisa

hii pete
 
Back
Top Bottom