Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nmmmhna mie ni bikra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nmmmhna mie ni bikra
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha....usitake nicheke kinyume na maumbile nikakamatwa buree
pote bikra mwili mzimaBikira Evelyn salt....ahahahahhaha. samahani mkuu..naomba kujua una bikra ya sehemu gani mwilini mwako .
we cheka ila ndo hivo ha ha haHa ha ha....usitake nicheke kinyume na maumbile nikakamatwa buree
Vice versa is truekosea kuoa ujikute unaishi na adui yako chumba kimoja
Pole mkuu mengine yanatokea katika maisha yetu ili tujifunzeYaani ukikosea hapo utapata kovu la milele, yamenikuta Mimi...
Ms. Lincolin;Ila walikutana Flora akiwa Bikra kabisa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maigizo.comWalitoa ushuhuda.
wakati wakitoa historia ya penzi lao 'tamu' na 'tukufu' katika gazeti kipindi walipotimiza miaka kumi ya ndoa,waliipa jina 'miaka kumi ya ndoa bila DOA'.
Ebu ntolee stress zako....!Ndio niliwachunguliaMs. Lincolin;
Maneno mengine hayafai yatoke mdomoni jamani. Wewe uliwachungulia ukiwa wapi?? Pale bedroom si waliingia wawili tu?? Mbona mnatia kinyaa??Bikra angelitoklezea ka alivyotoklezea leo?? Michuchu yoote nje huko si kunadi mali zake??
Huyo jamaa nadhani kitambi kishaanza kutokea kwa kuondokewa na gunia. Sipendi watu wanaowatumia wengine kupata kick. Aendelee kujidanganya mwisho atauona si mbali
Ebu ntolee stress zako....!Ndio niliwachungulia
Mkuu mbona kama umepanick, hilo jibu kisiriasi sio zuri. Ila kwa jf ni mambo ya utani tu, bila shaka Ms Lincolin hakumaanisha kiiivyo....Ms. Lincolin;
Maneno mengine hayafai yatoke mdomoni jamani. Wewe uliwachungulia ukiwa wapi?? Pale bedroom si waliingia wawili tu?? Mbona mnatia kinyaa??Bikra angelitoklezea ka alivyotoklezea leo?? Michuchu yoote nje huko si kunadi mali zake??
Huyo jamaa nadhani kitambi kishaanza kutokea kwa kuondokewa na gunia. Sipendi watu wanaowatumia wengine kupata kick. Aendelee kujidanganya mwisho atauona si mbali
Mimi nilisoma hiyo makala yao jinsi walivyokutana.Mkuu mbona kama umepanick, hilo jibu kisiriasi sio zuri. Ila kwa jf ni mambo ya utani tu, bila shaka Ms Lincolin hakumaanisha kiiivyo....
Mimi nilisoma hiyo makala yao jinsi walivyokutana.
Mbasha alisema alimkuta mkewe mupyaaaa....sioni ajabu kwa kuwa hata malaya huwa bikra kabla ya yote.Sasa huyu bwana inaonekana ana chuki sana na bi Flora
Mkuu mbona kama umepanick, hilo jibu kisiriasi sio zuri. Ila kwa jf ni mambo ya utani tu, bila shaka Ms Lincolin hakumaanisha kiiivyo....
Ha ha ha haa bwana wee. Kote kote unaweza ukapata koroma, si moyo si chini...muhimu mshirikishe Mungu. God never disappoints baby.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbasha aliangalia chini wakat wanaume wenzake wanaangalia moyo na upstairs. Upya ukamtoa udenda akasahau moyo ni kiza kinene. Wanaume wengi inawakost kwa kuangalia chini kama kupya wakat moyo umejaa makunyanzi.
Dear don't be too legalistic. Please. We are not suppose to judge that way. No matter how experienced or how old you are in Christianity always delay judgement. God sat with sinners. By the way this is a free platform, any one can be anyone he/she wants.Mariana;
Do yu realy love Jesus? Hivi kweli weye ukiangalia ile clip. Mama mwenye mtoto/watoto na heshima zake angeacha miziwa ile nje kihivyo?? Yes, am a Christian, Born Again, I mind not of what yu put on but let it be, Nguo ya heshima kama wewe ulivyo wa heshima.
Chunga maneno unayosema in public. Si hayo ati alikuwa bikra. What a bla blaa
Mariana;

Huwezi lazimisha mamboKama mwanamuziki wa nyimbo za injili alipaswa kuwa mfano mzuri ila kwa anayoyafanya namshauri aachane na muziki wa injili aimbe nyimbo za kidunia tu maana huko ndiko anakofaa.