Flora Nducha ameolewa na nani?

Usije kuwa unamsema John Nducha....!

Hapana. Mie namsema A. Nducha kama sikosei. Aliosomea mambo ya UJENZI na nduguye alikuwa mambo ya UMEME. Kwa sasa wote ni mafundi mchundo au hata ni Wahandisi.
Huyu aliyesomea umeme alikuwa mtoto wa mjini sana ingawa ukiangalia kwenye picha kafanana saana na huyo mzee. Kama sikosei walikuwa wanakaa Kibaha. Pia nilishakaa na kijana mmoja ambaye alikuwa akiitwa Mdoe. Mama yake kijana alikuwa ni Nducha family wa Kibaha na baba alikuwa ni mkali wa kutengeneza mashine na process nzima ya kutotoa vifaranga. Baadaye alikuja akahamia Interchick, Mbezi beach.
Anyway, hii familia naona ni kubwa saaana.
 

John Nducha alikuwa Mbeya kipindi fulani TRA! na ndugu zake wengine walihama Kibaha kuja Morogoro kule juu Kigurunyembe!
 
Wee Mshamba nini? This is what we call: ---- Yo Yo Effect.


naona alivalishwa pete ya uchumba siku nyingi cus hii picha ilikuwa 2007 kama sijakosea........lol ana mabega mazuri kweri kweri yang'ara ati.....nazimia sauti yake

Kwa mbali naona Kikukuu mguuni inamaana gani hiyo Shem?
mbona sioni kikuku shem? lakini alisema kafunga ndoa leo mbona send off tena?
 


naona alivalishwa pete ya uchumba siku nyingi cus hii picha ilikuwa 2007 kama sijakosea........lol ana mabega mazuri kweri kweri yang'ara ati.....nazimia sauti yake

Yo Yo Effect, inafanya akina mama wapendeze.

Khadija Kopa anaimba " Mwanamke mambo, MWANAMKE KIFUA .. Yoyo mate yanamdondoka.."
 
Last edited:
naona alivalishwa pete ya uchumba siku nyingi cus hii picha ilikuwa 2007 kama sijakosea........lol ana mabega mazuri kweri kweri yang'ara ati.....nazimia sauti yake


mbona sioni kikuku shem? lakini alisema kafunga ndoa leo mbona send off tena?

Ana kikukuu bwana wewe check fresh!
 
Matundiko mengine ni Mungu tu anajua watu wake mwenyewe. Lakini lets pretend that home of great thinkers. Huenda alikuwa mumewe na wana hati pamoja na ataka kuweka pingamizi pengine msaidieni wanaJF ili tundiko lake liishie. Au siyo!

Hiyo avator yako jamani inaogopehsa
 
Ana kikukuu bwana wewe check fresh!

Mpwa hana kikuku umefikiri huyu ni Ritha Mlaki yeye kikuku lazima unajua maana ya kikuku? Na kile kila mguu unamaana yake watu wanaiga tu bila kujua wazee wa kujiexpress tunajua wala hatuulizi.
 
jamani! kweli sasa tunajionea vichekesho humu JF..,Blog imeingiliwa, yaahn inaleta haibu kwa baadhi ya Thread zinazoletwa mbele ya panzia kwa uchangiaji.

Kama hii ya Flora, wewe unataka kujua kaolewa na nani then what benefit you?.

Kuna hii nyingine, jamaa kaileta eti ''style gani kufika kilele..'' hawa ndio wale wale wa ile blogy ya zeutam.Mi naona hizi thread zifanyiwe additing before coming-up here for contrbutional.Let us be here to discuss issues and not otherwise!
 
Shapu and Kidatu I concur with you totally. There is no need at all to crack our heads to find out whom she got married to. Lets deal with more important issues.
 
mbona wagumu kuelewa jamani? kwani kujua nducha kaolewa na nani kuna hasara gani? mbona tunajua mke wa kikwete ni mama salma hali kadhalika watu mbalimbali tunajua waume na wake zao sasa kuna ubaya gani.Kwa nini huyu anafichiwa mumewe asijulikane? Nyie mnataka ionekane kuna kitu kinafichwa na mtasabisha wadau wafuatilie mpaka wajue si unajua wabongo walivyo ving'ang'anizi?.........
Tupo pamoja
 

Sikonge,

Nilisoma na L Nducha huku Bukoba - Ndolage Nursing School - Hivi yupo wapi siku hizi?
 
YES SHE IS MARRIED! SO WHAT NEXT? LET US BE GREAT THINKERS AND NOT JUST FOLLOWINg PEOPLE's LIVES
 

Na kwa wakenya hizo ndizo zao!!!!!! dada zetu wengi wameingia mkeka kama huo. Kama hauna hakika muulize yule dada Emma wa new habari corporation ya Rostam Aziz, aliolewa na Mluya kombe alikuwa na mke wake wa ndoa huko kakamega!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…