Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Usije kuwa unamsema John Nducha....!
Hapana. Mie namsema A. Nducha kama sikosei. Aliosomea mambo ya UJENZI na nduguye alikuwa mambo ya UMEME. Kwa sasa wote ni mafundi mchundo au hata ni Wahandisi.
Huyu aliyesomea umeme alikuwa mtoto wa mjini sana ingawa ukiangalia kwenye picha kafanana saana na huyo mzee. Kama sikosei walikuwa wanakaa Kibaha. Pia nilishakaa na kijana mmoja ambaye alikuwa akiitwa Mdoe. Mama yake kijana alikuwa ni Nducha family wa Kibaha na baba alikuwa ni mkali wa kutengeneza mashine na process nzima ya kutotoa vifaranga. Baadaye alikuja akahamia Interchick, Mbezi beach.
Anyway, hii familia naona ni kubwa saaana.
