Florah Mbasha: Mimba niliyonayo ni ya Mume wangu sio ya Gwajima

Du!
Maneno mazito hayo mkuu!
Ila you hit the nail on the head!!!!!!
af sasa sijui kwann watu hatuwazagi vile itupasavyo kuwaza. unajua iko hivi, Mungu anasema hivi mtu asitaliki isipokuwa kwa mambo ya uasherati. Lakin Mungu mhuyo huyo akasema samehe jiran mara saba ya sabini manake ikiwa yeye husamehe makosa yetu yaliyo mengi kiasi hiki whay not sisi wanadamu kusamehe?

sasa basi hapa Emma atalazimika kusamehe tu ikiwa nataka kutengeneza mambo yake na Mungu, na hata kama mke kaipata mimba hatian atatakiwa kusamehe tu, na akijiingiza kwenye mtego wa kutaliki tayari ameshatenda kosa mbele za Mungu la kutengenisha alichokiunganisha Mungu na pia la kumuacha mke wa ujana wake, lakin pia la kutesa roho ya mwanae ambayo ataipandia laana ya kuhitaj ukombozi mbeleni.

kwa haya yote Emma anatakaiwa asamehe kisha aombe toba ya ukweli mbele za Mungu af afanye sala ya ukombozi kwa wanae maisha yaendelee manake kosa lipo lkin haliwez kubadili ukweli kwamba wote hawa ni binadamu na wamekosea kwa namna ya kibinadamu. utakuwa ni unafiki sana kusema ni shetan kwatega kwasababu wote wawili wametegwa na tamaa zao na siku zote tamaa huzaa dhambi na dhambi mshahara wake ni mauti.

ni kwa mtazamo wangu tuuuu na silazimishi iwe hivi msije mkanitupia mawe buree
 
Mungu amfichi mnafiki itajulikana tu
unajua katika vitu ambavyo Flora anakosea ni kuweka maisha yake yawe public. kosa lilishatendeka ya nini kujiweka hadharan?

ngoja nikwambie jambo moja, mwenye akili atajiuliza toka mbasha na mkewe watengane ni kama 4-5 months sasa siku zote hizo alikuwa wapi asiseme ni mjamzito hadi ifike leo ndo aseme kuwa ni mjamzito? je ina umri gani huo ujauzito manake kwa hii miez miwili angekuwa tayari anajua ni mjamzito na angesema sasa why to day?

af asije hapa na maneno eti Gwajima ni uncle kwann asingesema toka siku ya kwanza lilipoanza hili saga?
 

Haaahaaa...Uncle Gwajima kweli nouma!
 
Hahaaaaaa haaaaa Uncle si Mjomba, so ni ruksa kulala nae, Angekuwa mjomba kaka sa mama yake hapo sawa, anko ni mwanaumd yeyote, sawa na Aunt haimanish shangaz but humanisha demu

Yule si anko bali ankoli inamaanisha anaruhusiwa kwa vyovyote kwenye mwili wa Florah.
 
safari ya mbinguni ni ndefu sana, nampenda mume wangu ila nampenda mungu zaid??? kama vyombo vya habari vimekuza haya mambo ila kuna ukweli kidogo katka hayo ila heshima yake imepungua sana
 
gfsonwin

Nakubaliana na wewe ila ngumu kumesa!!
Kwanza kuna tuhuma za kuingiliwa ndoa yake huyu Emma na huyu Gwajima sasa "Uncle",
Halafu skendo ya Flora kuhama nyumba na unyumba,
Baada ya hapo kusukiwa zengwe la kubaka,
Mwishowe bibie anasema ana mimba ya Emma, ha ha ha !
Kweli yataka moyo.
 
Last edited by a moderator:
yaani kama kwlei ukitaka kuwa karibu na Mungu basi napo hapa unatakiwa usamehe wala usikumbuke
 
Uuuuuuuh na mimba zenye walakini watoto wakizaliwa huwa wanaumbua wajameni....ngoja amzae atoke copyright ya Mtume na nabii.....wa uongo...
 
This's disgusting!, she just need to disappear for a while, seriously!
 

Emma nae.katoa single yake bana
Inaitwa 'haribu kazi za shetani'
 
Dhahabu na fedha ni mali ya bwana:
Nashukuru watu humu wamekataa unafiki wa huyu dada mpumbavu kabisa. Hawa ndio wanaofanya wanaume wasiwaamini wanawake wote, sasa limekuganda bibie nenda mwana kwenda, subiri 2015 ukapande Jukwaani tena kwa hao wanaokuona wamaana wanasiasa. Mlokole kutwa kucha uko moafisini kwa wakubwa, mara mikocheni umeshikwa mikono unatambulishwa huku na kule, mara uko Serena una appointment na waziri so and so, mfanyabiashara so and so, umelengeshwa huku kule unabonge la smile unatambulishwa, hawa uko bungeni unasifia mamlaka za duniani eti mnasema una kibali. Kisa eti ni wageni rasmi kwenye uzinduzi wa studio, mara wa hili na lile jamani kama studio zi umepewa na baba wa mbinguni? si petro alisema kwa yule kiwete, dhahabu na fedha vyote ni vya bwana wa mbingu, na kama yeye ndio aliyekupa hiyo studio unahitaji mabwana wa duniani kuifanya hiyo studio kukufanikisha? mafuta na maji havichanganyiki bibie hili kama umeokoka kweli unalijua, kama ambavyo giza na mwanga haviwezi kukaa pamoja. ulokole si fashion ni moyo

Ole wao wanaomwaibisha kristo:
Ulimsikia mzee wa upako lusekelo alivyolishusha kwa Gwajima, uliona watu wa mataifa walivyotukana kanisa wakati wa sakata hili kwa uchafu wako, sasa fikiri ni wangapi waliogairi kumfuata kristo kwa ajili ya habari ile wakisema je hawa si wakristo wanafanyaje uchafu huu? je ni kwa namna gani wewe ulisababisha kuliingiza kanisa katika kashfa na watu wangapi walikuwa wamekata shauri walikatishwa tamaa na kurudi nyuma kwa sababu yako. Leo eti ni maneno ya watu, je Emanuel Mbasha ni mtu katika sakata hili? habari ya kubakwa mdogo wako ambayo wewe mwenyewe ulisikika kwenye vyombo vya habari ukisema hilo liko ndani ya jeshi la polisi na huna uwezo nalo, je huko si ni kukikri kuwa unaamini mumeo kafanya?

Imeandikwa mwanamke mpumbavu atavunja ndoa kwa mikono yake:
Hekima ya kawaida: Nalazimisha unijibu swali moja tu, je si kweli kuwa wewe ulisema haya? Aibu kwako kabisa hivi ni kweli wewe unaweza kuwa umetokea kwenye ukoo wa Moses Kulola? na wasiwasi na hiyo mimba ipeleke ulikoitoa, huwezi kutuambia kuwa ulikua nayo wakati ukikazana kulazimisha kumswaga mwenye mtoto gerezani kwa miaka 30 maana hiyo ndio hukumu ya ubakaji wakati una mtoto wake. Huko ulikoitoa ipeleke msimuonee Mbasha kwa kuwa ---- na hana pesa na sasa mmemnunua tubu ama jiandae kwa moto wa jehanamu.
 
huyo mshkaji emma mbasha hata usahau huu mwaka..kateseka sana..haya sasa wife kapigwa kibendi..
 

mkuu umemaliza kila kitu. Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone na mwenye akili na atambue. Flora anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe. Alimchongea emma soo la ubakaji akidhani kwamba anamkomoa lakini naye yamemtokea puani. Ukimtendea mwenzako ubaya, malipo ni hapa hapa duniani. Tazama kabla mbasha hajaenda segererea mungu amemuumbua flora kwa kumsaliti emma nje ya ndoa. Hiyo mimba aliyojazwa na mtumishi wa mungu itamsumbua sana maishani yake yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…