Florah Mbasha: Mimba niliyonayo ni ya Mume wangu sio ya Gwajima

Florah Mbasha: Mimba niliyonayo ni ya Mume wangu sio ya Gwajima

Gwajima alianza fujo zamani!! Huyu akipenya tu hapo Kawe, huenda akawapukutisha wale waheshimiwa wote wa vitu maalumu kupitia ccm!

Kuna ulazima wa wana kawe kuwaokoa wale waheshimiwa wetu dhidi ya huyu fisi mla watu.
 
Back
Top Bottom