evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,035 Reaction score 8,218 Oct 3, 2020 #121 Wanakawe wataonekana wehu Sana wakimchagua huyu fake pastor na mzinzi mla kondoo wake
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Oct 4, 2020 #122 Gwajima alianza fujo zamani!! Huyu akipenya tu hapo Kawe, huenda akawapukutisha wale waheshimiwa wote wa vitu maalumu kupitia ccm! Kuna ulazima wa wana kawe kuwaokoa wale waheshimiwa wetu dhidi ya huyu fisi mla watu.
Gwajima alianza fujo zamani!! Huyu akipenya tu hapo Kawe, huenda akawapukutisha wale waheshimiwa wote wa vitu maalumu kupitia ccm! Kuna ulazima wa wana kawe kuwaokoa wale waheshimiwa wetu dhidi ya huyu fisi mla watu.