warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
-
- #21
Mahaba nitetemeshee kama boko haramu nisitekwe miee(ni vizuri kama wamepatanaaaa
Binamu leo nina stress kiama, kuna watu humu walisemag warumi mchawi sijui walijuaje, yaan nawaza kesho kwenye tuzo za BET roho inadunda kiama jinsi nilivyokuwa na roho mbaya, sijui ntakuwa mchawi kweli?, ila sio bhana kwan kutokumpenda mtu ndo uchawi? Waniache bhana, ndomo akishinda sijui nitaweka wapi sura yangu mie, maana simpendi kiama, eeh mungu atutie nguvu team haters kwa kweli, naisubir kesho kwa hamu
Ila furaha kubwa niliyonayo ni madam bibi bomba kutokwenda kwenye tuzo na sijui kwa nini hajaenda, maana tungekoma na hizo team za akina jipange uko insta mbona tungeharisha siku nzima , maana nakumbuka jipange alikuwa anajishaua kiama na nguo ya kuvaa madame kwenye bet eti alimchagulia kabisa
Last edited by a moderator: