Florah Mbasha na mumewe "WAPATANA"

Florah Mbasha na mumewe "WAPATANA"

Mahaba nitetemeshee kama boko haramu nisitekwe miee(ni vizuri kama wamepatanaaaa

Binamu leo nina stress kiama, kuna watu humu walisemag warumi mchawi sijui walijuaje, yaan nawaza kesho kwenye tuzo za BET roho inadunda kiama jinsi nilivyokuwa na roho mbaya, sijui ntakuwa mchawi kweli?, ila sio bhana kwan kutokumpenda mtu ndo uchawi? Waniache bhana, ndomo akishinda sijui nitaweka wapi sura yangu mie, maana simpendi kiama, eeh mungu atutie nguvu team haters kwa kweli, naisubir kesho kwa hamu

Ila furaha kubwa niliyonayo ni madam bibi bomba kutokwenda kwenye tuzo na sijui kwa nini hajaenda, maana tungekoma na hizo team za akina jipange uko insta mbona tungeharisha siku nzima , maana nakumbuka jipange alikuwa anajishaua kiama na nguo ya kuvaa madame kwenye bet eti alimchagulia kabisa
 
Last edited by a moderator:
Haaaaaaa warumi mbona we sijawahi ona thread zako za Kimbea kuhusu ili sakata?

Mi nilikuwa nawaangalia tu , maana kila mtu alikuwa akijifanya anawajua sana akina mbasha, na mimi umbea ambao hata watoto wa mtakuja primary school wanaujua mi sifanyaji, umbea wangu mzito kama wa team dengue, ukimpata muhusika lazima azimie kwanza kwa mshtuko, nakumbuka nilimlizaga sana mainda maskini alilia mpaka nikamuonea huruma
 
Ebu wafundishe mbinu za Umbea Mzuri aiseee, niliona kama si ktk Youtube Mainda anahojiwa kuhusu yeye na Ray kumbe ulikua wewe?
 
Heri kwao kupatana maana ni pigo kwa ibilisi aliyetaka kutake advantage
Ahimidiwe Mungu

Wewe unafikir florah tahira amsamehe bure tu?, si anajua mumewe mda si mrefu ataenda kunyea debe so kaamua amfariji kidogo siku mbili tatu izi za uraiani ili akienda china afaidi vizur penzi la gwajima
 
Wambea yametushuka jaman, kila siku tulikuwa tunamchamba florah, jamani wametuaibisha hawa, haswa hili li mbasha ndo limetudhalilisha sana kumtetea kote kule leo anatugeuka?, ngoja na yeye kesi yake bado ipo jikon ngoja walifunge kwanza na utahira wake

kumbuka jamaa ana kesi ya kubaka! sasa anajirudisha kwa mamaa ili kesi isiwe ngumu, subiri kesi iishe na jamaa aachiwe huru utaona atakavyotoka nduki
 
Ebu wafundishe mbinu za Umbea Mzuri aiseee, niliona kama si ktk Youtube Mainda anahojiwa kuhusu yeye na Ray kumbe ulikua wewe?

No kuna scandal yake niliandikag umu ya kuwashobokea waumin wa kiume kanisan wanaposali, sasa wambea wenzangu wa shigongo wakayabeba kama yalivyo wakaenda kumsomea mashtaka mainda, dah alilia kwa uchungu sana mpka mimi mwenyew nilijisikia vibaya
 
Wewe unafikir florah tahira amsamehe bure tu?, si anajua mumewe mda si mrefu ataenda kunyea debe so kaamua amfariji kidogo siku mbili tatu izi za uraiani ili akienda china afaidi vizur penzi la gwajima

Unataka kuniambia na vitu alivyochukua hajarudisha au??
 
Binamu leo nina stress kiama, kuna watu humu walisemag warumi mchawi sijui walijuaje, yaan nawaza kesho kwenye tuzo za BET roho inadunda kiama jinsi nilivyokuwa na roho mbaya, sijui ntakuwa mchawi kweli?, ila sio bhana kwan kutokumpenda mtu ndo uchawi? Waniache bhana, ndomo akishinda sijui nitaweka wapi sura yangu mie, maana simpendi kiama, eeh mungu atutie nguvu team haters kwa kweli, naisubir kesho kwa hamu

Ila furaha kubwa niliyonayo ni madam bibi bomba kutokwenda kwenye tuzo na sijui kwa nini hajaenda, maana tungekoma na hizo team za akina jipange uko insta mbona tungeharisha siku nzima , maana nakumbuka jipange alikuwa anajishaua kiama na nguo ya kuvaa madame kwenye bet eti alimchagulia kabisa

vp madame hadi ahudhurii? au yupo kwenye mfungo wa ramadhani? dai nae kipindi hiki si huwa anashinda masjid itakuwaje sasa au ataomba udhuru kwa muumba?
 
Last edited by a moderator:
vp madame hadi ahudhurii? au yupo kwenye mfungo wa ramadhani? dai nae kipindi hiki si huwa anashinda masjid itakuwaje sasa au ataomba udhuru kwa muumba?

Madame sijui kakosa visa au katoswa na ndomo, maana timu yake ilikuwa inajishaua hatar
 
Heri kwao kupatana maana ni pigo kwa ibilisi aliyetaka kutake advantage
Ahimidiwe Mungu

Acheni kumsingizia shetan....u.puuzi wafanye wao halafu mnasema ibilis.....ni kukwepa wajibu kumsingizia ibilisi...ambaye kimsingi hayupo
 
Wambea yametushuka jaman, kila siku tulikuwa tunamchamba florah, jamani wametuaibisha hawa, haswa hili li mbasha ndo limetudhalilisha sana kumtetea kote kule leo anatugeuka?, ngoja na yeye kesi yake bado ipo jikon ngoja walifunge kwanza na utahira wake

actually Mbasha is my hero...kubembeleza kurudiana na mwanamke aliekuweka jela!!, that is extremely rare
 
Acheni kumsingizia shetan....u.puuzi wafanye wao halafu mnasema ibilis.....ni kukwepa wajibu kumsingizia ibilisi...ambaye kimsingi hayupo

Kimsingi mabaya yote ni ya shetani isipokuwa wanadamu ndo tunampa shetani nafasi ya kututumia
 
Back
Top Bottom