Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmhhh...iii posti kama kweli basi siku ya kesi nitamsindikiza ema! Ili aone kuna walembo duniani si yeye tu. MfyyuuuMuimbaji wa muziki wa injili, florah mbasha amesema yupo tayari kurudiana na mume wake emmanuel mbasha, ikiwa atakwenda kumuangukia mguuni na kumuomba msamaha.
Florah alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kutoa ushahidi mahakamani juu ya kesi ya ubakaji inayomkabili mume wake ambayo inasikilizwa katika mahakama ya wilaya ya ilala.
"Mbasha nimeshamsamehe siku nyingi na nipo tayari kuishi naye iwapo atakuja kuniangukia miguuni na kuniomba msamaha..lakini hili la ubakaji ni suala la mahakama" Alisema.
Wanataka kutushaulisha Faru John hawahii ni season 4 epsod 1
Utakuwa unatafuta kitu kwa ImaMmmmhhh...iii posti kama kweli basi siku ya kesi nitamsindikiza ema! Ili aone kuna walembo duniani si yeye tu. Mfyyuuu
nahisi ni jiniHizi habari zinajipost au ni jini..-!!
Na kudai tume huru ya uchaguzi.Wanataka kutushaulisha Faru John hawa