Florent Ibenge ni Simba, Simba ni Ibenge?

Hata ulaya wanasajili vizuri na wanachemka imagine man united.
Acheni kukariri timu ipo vizuri
 
Kosa kubwa la Mbrazil nikutofanya rotation ya wachezaji hapa alibugi sn tena mno wachezaji wamechoka and kocha wa viungo alishindwa kabisa recovery yao or upashaji mwili kabla ya mechi simzuri.
 
Kosa kubwa la Mbrazil nikutofanya rotation ya wachezaji hapa alibugi sn tena mno wachezaji wamechoka and kocha wa viungo alishindwa kabisa recovery yao or upashaji mwili kabla ya mechi simzuri.
Wachezaji weengiiii wanao tegemewa kwenye rotation viwango vidogo Sanaa mkuu sababu;

1...Kukosa kujiamini kutokana na kutokupewa nafasi

2....presha ya mashabiki

Kwa zaidi ya misimu3 wachezaji wa ndani waliosajiliwa Ni kibu Dennis alieweza kuhimili hizo changamoto mbili ambao wengiii imewashinda

Hata kibu mwenyewee kapigwa mawe Sanaa katukanwaa sanaaaa....ila saivi ndio tegemezi hahahahahaaa!!!
 
sehemu yyt ya kazi hakukosi changamoto hapa makuzi ndio yanakusaidia,Kibu amekulia maisha magumu sn tena mno ndio maana haoni ttz wachezaji wengi wa sasa wanataka kupendwa not challenging them naniwavivu mno,so kipaji chao kinakuja kupitia kucheza mechi nyingi
 
Kwa kipindi kilichobaki(mpk kufika dirisha kubwa) tunahitaji kocha MWENYE MSIMAMO TU.....haya menginee yotee Wala hayatasaidia kitu mfano:Mangungu/try again wakijiuzulu itasaidia Nini???

Tumpate kocha mwenye msimamo ambae hapangiwi kikosi na Wala kukariri wachezaji......mfano CHAMA,SAIDO huna kiwango benchi Full stop
 
Una la kuongeza tena?
 
Wamlete kishingo ingawa fungu lake simchezo
Tatizo ndio linaanzia hapa..... wakati tunaangaika na makocha yanga wapo busy kuendelea kuboresha kikosi Chao......aisee Kama mdau wa mpira huyu engineer hersi said mtu sanaaa yupo serious Sanaa na kazi Mimi Simba kindakindaki ila huyu jamaa anajua kazi yake aisee......watu wanaanza mipango mapema sisi tunasubiri deadline kuwasajili kina sawadogo na onana....
 
Nilisema wachezaji wakongo wanajua kucheza ndombolo tu, sasa imekuwaje
 
Na waliokushambulia wengi hapa ni ndugu zako naona sasa wanaona aibu kucomment uzi wako, pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…