MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Hata ulaya wanasajili vizuri na wanachemka imagine man united.
Acheni kukariri timu ipo vizuri
Acheni kukariri timu ipo vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kweli mtoto wa shule.Kawape ushauri Yanga. Simba tupo konfotabo na Mzee wa Objective!
Bado hamtafuti kocha?Aliyekwambia simba inatafuta kocha nani?
Wachezaji weengiiii wanao tegemewa kwenye rotation viwango vidogo Sanaa mkuu sababu;Kosa kubwa la Mbrazil nikutofanya rotation ya wachezaji hapa alibugi sn tena mno wachezaji wamechoka and kocha wa viungo alishindwa kabisa recovery yao or upashaji mwili kabla ya mechi simzuri.
Shukrani Sana mkuuBado hamtafuti kocha?
Mpeni maua yake mleta uzi
Uliona mbali sana mkuu.Shukrani Sana mkuu
sehemu yyt ya kazi hakukosi changamoto hapa makuzi ndio yanakusaidia,Kibu amekulia maisha magumu sn tena mno ndio maana haoni ttz wachezaji wengi wa sasa wanataka kupendwa not challenging them naniwavivu mno,so kipaji chao kinakuja kupitia kucheza mechi nyingiWachezaji weengiiii wanao tegemewa kwenye rotation viwango vidogo Sanaa mkuu sababu;
1...Kukosa kujiamini kutokana na kutokupewa nafasi
2....presha ya mashabiki
Kwa zaidi ya misimu3 wachezaji wa ndani waliosajiliwa Ni kibu Dennis alieweza kuhimili hizo changamoto mbili ambao wengiii imewashinda
Hata kibu mwenyewee kapigwa mawe Sanaa katukanwaa sanaaaa....ila saivi ndio tegemezi hahahahahaaa!!!
Kwa kipindi kilichobaki(mpk kufika dirisha kubwa) tunahitaji kocha MWENYE MSIMAMO TU.....haya menginee yotee Wala hayatasaidia kitu mfano:Mangungu/try again wakijiuzulu itasaidia Nini???sehemu yyt ya kazi hakukosi changamoto hapa makuzi ndio yanakusaidia,Kibu amekulia maisha magumu sn tena mno ndio maana haoni ttz wachezaji wengi wa sasa wanataka kupendwa not challenging them naniwavivu mno,so kipaji chao kinakuja kupitia kucheza mechi nyingi
Una la kuongeza tena?Kwenda zako bana, timu iko vizuri...kocha sio tatizo. Future plan, Ibenge...?! As if atafanya sijui maajabu gani ghafla.
Al Hilal hajakwama nayo mwaka jana tena hatua ya makundi Simba ikienda robo fainali na Robertinho.
Kocha ana miezi tisa tu, takwimu zinamlinda mnatokea mashabiki-makocha kibao na stori za ajabu ajabu.
Tulia wataalamu wafanye kazi zao. Mapasi pasi tushacheza sana ya bila mpango na mpango, sasa ni mwendo wa objective football,kisha tutaremba baadae. Muda ni mfupi mambo ni mengi Robertinho kazi ya muda mfupi mambo mengi anaiweza.
Nabi alitaka kule alipoenda aanze kusuka timu kama Yanga, watu oyaa haujatupeleka makundi TTROOOKAAAH...Gamondi ngoja akwame makundi, Simba iende robo fainali, utaona akili za mashabiki-makocha wa Yanga pia.
Tatizo ndio linaanzia hapa..... wakati tunaangaika na makocha yanga wapo busy kuendelea kuboresha kikosi Chao......aisee Kama mdau wa mpira huyu engineer hersi said mtu sanaaa yupo serious Sanaa na kazi Mimi Simba kindakindaki ila huyu jamaa anajua kazi yake aisee......watu wanaanza mipango mapema sisi tunasubiri deadline kuwasajili kina sawadogo na onana....Wamlete kishingo ingawa fungu lake simchezo
Hawakuelewa kauli ya muda utaongea sio kosa lake mkuuUna la kuongeza tena?
Mzigo TU mkuu unaongea.....pia alishawahi kusema anatamani kufanya kazi tanzaniaSi ana mkataba na al hilal
Nilisema wachezaji wakongo wanajua kucheza ndombolo tu, sasa imekuwajeWakuu,
Poleni Ni majukumu ya kila siku,
binafsi baada ya kuona Simba almost misimu mitatu hatufanyi vizuri kwenye USAJILI/SCOUTING tofauti na hata watani zetu (Yanga).
Nimetafakari Sana juu ya hili; mfano tu mrahisi, ukiangalia kikosi Cha Simba kina mapungufu kwenye maeneo Kama kiungo mkabaji,beki wa kushoto (back up ya zimbwe) n.k
Mapungufu Ni mengi siwezi kuelezea yote nyie kama wadau wa mpira hasa mashabiki wa Simba mnatambua. KIUFUPI Simba haikufanya scouting nzuri at all, kwa usajilii woteee wa msimu huu Ni Che Malone TU ndio tunaweza kusema yupo vzr wengine Ni ingia toka, ni kama kikosi Ni Kile Kile TU.
KWANINI IBENGE?
1. Ni kocha Mwenye experience ya mpira wa africa, hii haitaji maelezo
2. ANAIJUA SIMBA, ata akiwa kocha ni rahisi Sana kujua wapi Kuna shida na kupafanyia kazi
3. Ni kocha wa mbinu hasa kwenye mechi za kimataifa anajua namna ya kupanga kikosi, Pia hata kwa mashabiki wa Simba sioni Kama kutakuwa na ile 'fans pressure" tofauti na makocha wa nje
4. Atatusaidia Sana kwenye Usajili since anajua wachezaji (hasa wa CONGO) ambaye akimleta, obviously ataleta impact moja kwa moja kwenye timu.
huyu Ni aina ya kocha anaweza hitaji wachezaji watano TU Alafu ndio utajua hujui!!!....Kama unabishaa waulize utopolo alichowafanya(jokes)
CHANGAMOTO
1. Mshahara wake Simba inaweza kumlipa?
2. Bajeti na aina ya wachezaji anaowahitaji Ni kubwa Simba tutaweza????
USHAURI
Kuliko kupoteza mihela kusajili wachezaji weengiiii ambao Ni wa kawaida tuuu.....mwambieni BOSS MO amwage pesa, Leta ibenge floreee na wachezaji 3/4 tu wa maaana Alafu tukutane uwanjani
Nawasilisha!
Na wa yanga vipi??Nilisema wachezaji wakongo wanajua kucheza ndombolo tu, sasa imekuwaje
Ndiyo wameifikisha hapa ilipoNa wa yanga vipi??