DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mbunge wa Jimbo la Missenyi zamani Nkenge anayemaliza muda wake Mhe. Florent Kyombo amechukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo kwa kipindi kingine cha pili.
Akiongea na waandishi wa Habari mara baada ya kukabidhiwa fomu hiyo leo Juni 30, 2025 katika viwanja vya ofisi za CCM Wilaya ya Missenyi Florent Kyombo amesema kuwa katika kipindi cha miaka mitano anajivunia makubwa aliyoyafanya katika kuwaletea wananchi maendeleo.
Ameongeza kuwa sababu kubwa zinazompelekea kuomba kuchaguliwa tena ni Pamoja na kuendeleza miradi mikubwa aliyoianzisha na kutaka aimalizie kuliko kuicha njiani nap engine isije kuwa kipaumbele kwa mtu mwingine kwa maslahi ya wanamissenyi.
Hata hivyo Kyombo amewashukuru wananchi wa Missenyi kwa kumuamini na kumpa ushirikiano wakati wote wa ubunge wake sambamba na familia yake ambayo haikumtupa wakati wote wa kuwatumikia wananchi na sasa anaiona nafasi kubwa yay eye kuwa mbunge.