Elections 2010 Flow ya matokeo yanaashiria Dr. Slaa kushinda?

Mungu ibariki internet. Niko nchi ambayo hawaruhusu mabadiliko
 

Ngoja tusubiri hiyo asubuhi basi tuone itakavyokuwa.
 
Nimepata hii picha kwa Mjengwa, Hebu fuatilia idadi ya wapiga kura uone mwenyewe:

 
wakati wa mabadiliko, ni sasa, si wakati mwingine ni sasa wadau
 
Cha kusikitisha zaidi... zile sehemu maskini zaidi kama kondoa kaskazini ndio bado wanawapigia ccm... kweli mtaji wa ccm ni jinga, maradhi na umaskini
Kwa upepo wa mabadiliko ya uchaguzi wa mwaka huu, ndani ya miaka mitatu ijayo somo litakuwa limewakolea nao watatembelewa na kiu ya mabadiliko. wataalikwa kuja kunywa maji yenye uhai kwa ajili ya watoto wao na watoto wa watoto wao. Munga ibariki Tanzania, Mungu yabariki mabadiliko.
 
Cha kusikitisha zaidi... zile sehemu maskini zaidi kama kondoa kaskazini ndio bado wanawapigia ccm... kweli mtaji wa ccm ni jinga, maradhi na umaskini

Acid hawa qatu ni wapuuzi sijapata kuona. Wamejifungia kwwnye ulimwengu wap wa ujinga na hawaruhusu kabisa kusikia chochote bali sisiem. Pilau ng'ombe linatosha sana na upande wa khanga na kitocho cha udo na wanzuki.

@DC hata Novena Kondoa inadunda, trust me. they leave only today.
 
Wanasemaga 'keep ur xpectations higher, ur failure will be ur success'
Naomba waone wivu wa maendeleo ya wenzao wanaokibali mabadiliko
 
Kwa flow hii, Dr Slaa ana nafasi kubwa sana ya kushinda uraisi wa Tanzania.

Unless .........

Unless what...hakuna cha unless hapa ushindi ni lazima...........tu
 
Acha kupotosha. Dk. Slaa hawezi kushinda bali atapata nyingi. Kikwete bado yuko mbele sana. Tuendelee kuarifiana bila kupotoshana na kupeana matumaini ambayo baadaye yatatuumiza kama ushabiki wa mpira wa magazetini uliochezwa na uingereza na kupata ubingwa wa dunia hata kabla ya kwenda South Africa.
Tusipeana matumaini ya kuumizana, Right my boy!
 

Hakuna cha unless hapa kama Kenya na Zimbabwe hiyo wasahau!! Kwanza viongozi wa Tume ilnabidi wajiuzulu hasa Rajabu Kiravu kwa kushindwa kuandaa vifaa vya kutosha kwenye majimbo yaliosimamishiwa uchaguzi mpaka 14 Nov. 2010. Au ndio karatasi vipodozi zimeshindikana kupenyeza kwenye vituo?
 
I was waiting for so long....for a new day to come, hebu endelea na hii verse
 

wewe umejuaje haya? au wewe ni mfanyakazi wa tume ya uchaguzi inayochelewesha matokeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…