Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo si Max, tatizo ni chanzo rasmi.... maana hadi sasa chanzo rasmi ni vituo tu ambavyo kura zake si zaidi ya 500. Lakini taaria zisiizo rasmi (ambazo nyingi ni sahihi) tunazipata humu, kule nadhani kuanzia asubuhi zitakuwa zinashuka kwa kasi na wote mtahamia huko
Amani ya bwana iwe nanyi nyote!
Kwa upepo wa mabadiliko ya uchaguzi wa mwaka huu, ndani ya miaka mitatu ijayo somo litakuwa limewakolea nao watatembelewa na kiu ya mabadiliko. wataalikwa kuja kunywa maji yenye uhai kwa ajili ya watoto wao na watoto wa watoto wao. Munga ibariki Tanzania, Mungu yabariki mabadiliko.Cha kusikitisha zaidi... zile sehemu maskini zaidi kama kondoa kaskazini ndio bado wanawapigia ccm... kweli mtaji wa ccm ni jinga, maradhi na umaskini
Cha kusikitisha zaidi... zile sehemu maskini zaidi kama kondoa kaskazini ndio bado wanawapigia ccm... kweli mtaji wa ccm ni jinga, maradhi na umaskini
Wanasemaga 'keep ur xpectations higher, ur failure will be ur success'Kwa upepo wa mabadiliko ya uchaguzi wa mwaka huu, ndani ya miaka mitatu ijayo somo litakuwa limewakolea nao watatembelewa na kiu ya mabadiliko. wataalikwa kuja kunywa maji yenye uhai kwa ajili ya watoto wao na watoto wa watoto wao. Munga ibariki Tanzania, Mungu yabariki mabadiliko.
Kwa flow hii, Dr Slaa ana nafasi kubwa sana ya kushinda uraisi wa Tanzania.
Unless .........
Nimeendelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi Tanzania. So far, kwa yale ambayo yameripotiwa, CHADEMA imefanya (kuongoza) katika mikoa ya ziwa, kaskazini na nyanda za juu kusini. Ukifuatilia sensa ya karibuni, hii mikoa (ukiacha mkoa wa Dar) ndio ina watu wengi Tanzania.
Mkoa wa Dar es salaam, chadema imebanana na ccm (kuongoza baadhi ya vituo). Mikoa ambayo chadema haikufanya vizuri sana ni kati (singida etc), kusini (lindi na mtwara) na zanzibar. Population ya hii mikoa yote combined, ni sawa ni population ya mikoa ya mwanza na shinyanga. BTW, katika mikoa hii (na mingine ya Pwani), ccm imegawana kura na chama cha CUF.
Ona picha hii kwa hisani ya Mjengwa (na citizen):
![]()
Kwa flow hii, Dr Slaa ana nafasi kubwa sana ya kushinda uraisi wa Tanzania.
Unless .........
2cje kukimbiana humu ndani
Acha kupotosha. Dk. Slaa hawezi kushinda bali atapata nyingi. Kikwete bado yuko mbele sana. Tuendelee kuarifiana bila kupotoshana na kupeana matumaini ambayo baadaye yatatuumiza kama ushabiki wa mpira wa magazetini uliochezwa na uingereza na kupata ubingwa wa dunia hata kabla ya kwenda South Africa.
Tusipeana matumaini ya kuumizana, Right my boy!
Mungu ibariki internet. Niko nchi ambayo hawaruhusu mabadiliko
tukimbiane kwa nini?