Hahaaaa haaaa mkuu ninecgeka sana Yesu anahusikaje na mkwanja wa myweather???Yesu si uje tu aisee
Watakuja wale wenzangu na mimi na comments zao utasikia "duniani tunapita maisha ni mbinguni" "Mali bila Yesu ni bure"
Ila nae atakufa sawa na MIMi
Usisahau kuwa Suleiman alikuwa tajir kuliko waliowahi kuwa dunian na utajir huo alipewa Na Mungujiwekeeni hazina mbinguni mahali ambapo nondo wala kutu haviharibu
Kwa hiyo mtu usifanye kazi wala usiwe Na Mali kisa utakufa? Na je ukifa unajua utaelekea wap?Mungu ametupa akili na utashi pamoja Na vilivyomo duniani tuvitawale.Mimi mmoja wao mkuu,mali bila Yesu ni useless,unachokiona hapo ni zaidi ya kilichoko mbinguni,shetani asikukatishe tamaa na vitu vya duniani,ukifa utaviacha hapahapa,hata huyo Mayweather hilo jumba unaweza kukuta mwenye nalo alishakufa na ameliacha hapa duniani,jiulize wako wapi wakina Mohamad Ali,Michael Jackson,Mobutu seseseko,Boris Abramovich Berezovsky na wengine wengi..??
lake huyo anapenda sifa Sana, halafu anapenda mabishano Na anataka mshindi awe yeye always , Chana naewe mbeba box si ulisema makochi yako umeyatupa jalalani....kwa nini ussingesaidia hata ndugu zako wa kijijini
hazina ninayoizungumzia ni 1/10 ambayo hata huyo sulemani alikuwa akiirudisha kwa mungu kama zaka na sadakaUsi
Usisahau kuwa Suleiman alikuwa tajir kuliko waliowahi kuwa dunian na utajir huo alipewa Na Mungu
Mkuu hii fact yako nimeitafakari sanaHapa ndipo sometimes uwa ninahisi kuna maisha mara nyingine, yani ukifa unazaliwa kwingine na maisha mengine.
Haimake sense juma anaishi Tanzania ana maisha magumu ni kibaka ana madhambi tele, halafu mayweather yuko states ana maela mengi na anafanya kufuru na uzinzi naye ana madhambi pia halafu eti wote wakifa waende motoni wakati mmoja duniani alikula raha mwingine aliishi kwa tabu.
Tupambane tu kamanda mbigiMungu wangu mie nimekukosea nini
Umeona mkuu mimi nikitafakari uwa sipati jibuMkuu hii fact yako nimeitafakari sana