Floyd Mayweather ajipongeza kwa ushindi

Floyd Mayweather ajipongeza kwa ushindi

Mimi mmoja wao mkuu,mali bila Yesu ni useless,unachokiona hapo ni zaidi ya kilichoko mbinguni,shetani asikukatishe tamaa na vitu vya duniani,ukifa utaviacha hapahapa,hata huyo Mayweather hilo jumba unaweza kukuta mwenye nalo alishakufa na ameliacha hapa duniani,jiulize wako wapi wakina Mohamad Ali,Michael Jackson,Mobutu seseseko,Boris Abramovich Berezovsky na wengine wengi..??
Kwa hiyo mtu usifanye kazi wala usiwe Na Mali kisa utakufa? Na je ukifa unajua utaelekea wap?Mungu ametupa akili na utashi pamoja Na vilivyomo duniani tuvitawale.
We ishi Kama vile utakufa kesho
 
Hapa ndipo sometimes uwa ninahisi kuna maisha mara nyingine, yani ukifa unazaliwa kwingine na maisha mengine.
Haimake sense juma anaishi Tanzania ana maisha magumu ni kibaka ana madhambi tele, halafu mayweather yuko states ana maela mengi na anafanya kufuru na uzinzi naye ana madhambi pia halafu eti wote wakifa waende motoni wakati mmoja duniani alikula raha mwingine aliishi kwa tabu.
Mkuu hii fact yako nimeitafakari sana
 
Back
Top Bottom