mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,275
Mazee, nimeongea kitu very specific, kamaunapinga kuwa specific, siyokuja kijumla jumla kama biashara ya bei nafuu.Huoni haya.
Eti unajifananisha kujua fashion kuliko Floyd.
Nadhani ww unamjua Floyd wa ulingoni tu Floyd wa nje ya ulingo humfahamu hata kidogo.
Ha ha ha ha.We unanitaka nitukane nipigwe ban sasa, Kiranga unacho wewe kuita watu majina si yao.
Mimi nimeongelea fashion, si fedha.
Unaweza kuwa na fedha zote duniani na usijue fashion, na mwenye fedha ndogo akajua fashion.
Umeongea takataka tu.Mazee, nimeongea kitu very specific, kamaunapinga kuwa specific, siyokuja kijumla jumla kama biashara ya bei nafuu.
Kwanza uzuri wa Floyd mjanja sana kwenye masuala ya pesa .Aise wangejua ...kuna vingine tukiweka hapa watasema ni UONGO ...jamaa anakuambia kwamba yeye anafanya hivyo sababu anaonesha maisha yake halisi anayoishi, wengine wenye pesa wanafiki ukimuuliza hali vipi anakuambia mambo.magumu aise mambo yamekaza
Mbona habari niliyoitaja unairuka?Ha ha ha ha.
Unachekesha sana kuna fashion gani au starehe gani unayoijua wewe Floyd asiijue???
Labda uniambie fashion uchwara ila sio fashion kwa maana yafashion
Huyo Floyd ni mdhamini pia ni mdau mkubwa sana wa masuala ya fashion hasa kwa upande wa kinadada huwa anawasapoti sana kazi zao kuliko hata unavyofikiria.
Kama vitu hujui tulia tuli ujuzwe usije ukaumbuka mbele za watu .
Unaongelea vitu ambavyo huvijui, hujaviona, umeshavitajia bei.Umeongea takataka tu.
Hizi unadhani hivyo visofa vyako vya laki tano vitalingana thamani na hayo ya Floyd?
Hahaha maybeHivi hizi mali za wazungu unataka kuniambia ni sehemu ya mali za dhahabu zetu zilizoibiwa?
Hana class na fashion?? [emoji50][emoji50][emoji50] dah haya bwana. Hahaa aiseMbona habari niliyoitaja unairuka?
Kudhamini fashion ni habari ya kuwa na hela, hata wewe ukiwa na hela utadhamini fashion.
Floyd Mayweather anawezakuwa na hela lakini hana class na fashion.
Unaelewa maana yake hayo maneno?Hana class na fashion?? [emoji50][emoji50][emoji50] dah haya bwana. Hahaa aise
Alinunua ya kwanza, akaona haitoshi akaongeza nyingine mwaka jana, Air Maywether ....bilioni 90 za kitanzaniaMwaka huu hajaongeza ndege na magari? Hance Mtanashati
Sijaruka kitu chochote .Mbona habari niliyoitaja unairuka?
Kudhamini fashion ni habari ya kuwa na hela, hata wewe ukiwa na hela utadhamini fashion.
Floyd Mayweather anawezakuwa na hela lakini hana class na fashion.
haya funguka umenunua shilingi ngapi masofa yako.Unaongelea vitu ambavyo huvijui, hujaviona, umeshavitajia bei.
Unadhihirisha unavyopenda ku assume.
Wewe fanboy, lazimautajivikakumjua mtu unayemsoma magazetini.Sijaruka kitu chochote .
Umedai kuwa Floyd ana pesa lakini haelewi chochote kuhusu fashion,ikabidi nikushangae kwa kweli.
Ndio nikakwambia humjui Floyd wewe.
Nimejaribu kuelewa nimeshindwa labda nina fikra tofauti, tafadhali kwa faida ya wengine unaweza kufafanua ukisema HANA CLASS NA FASHION.Unaelewa maana yake hayo maneno?
Kwanza niombe radhi kwa kutaja bei ya kuokoteza hewani.haya funguka umenunua shilingi ngapi masofa yako.
Kama hujawa kituko humu.
Akili hana huyu.Hana class na fashion?? [emoji50][emoji50][emoji50] dah haya bwana. Hahaa aise
wewe unaelewa?Unaelewa maana yake hayo maneno?