Floyd Mayweather ajipongeza kwa ushindi

Nimejaribu kuelewa nimeshindwa labda nina fikra tofauti, tafadhali kwa faida ya wengine unaweza kufafanua ukisema HANA CLASS NA FASHION.
Anaweza kuzuzua lowbrow fashion,but highbrow fashion goes with character.

The boy is crass,therefore he doesn't have class. And without class,you can't have fashion.

Unaweza kucolect vitu tu bila theme wala rhyme wala reason.

Kwa sababu umekulia kwenye umasikini tu unajisikia ku overcompensate.

Class doesn't flash, that is trash.
 
Kwanza niombe radhi kwa kutaja bei ya kuokoteza hewani.

Halafu wewe na Mayweather wote mnasumbuliwa na umasikini, wa kufikiri uzuri wa kitu unapimwa na bei.
Tofautisha kitu feki na kitu halisi.

Hizo takataka zako zimetengenezwa kwa material ya hadhi ya chini sana na ndio maana hata bei yake ni ndogo sana.
 
Nani alikudanganya Floyd amekulia maisha ya umaskini?
 
Tofautisha kitu feki na kitu halisi.

Hizo takataka zako zimetengenezwa kwa material ya hadhi ya chini sana na ndio maana hata bei yake ni ndogo sana.
Wewe wacha kunivunjia heshima hapa, if you that much of are Mayweather fanboy kusemavitu usivyovijua takataka nenda kamnyonye mboo hanithi mkubwa wewe.
 
Wewe fanboy, lazimautajivikakumjua mtu unayemsoma magazetini.

The boy is crass, he lacks class.

Do you know what that means?
kinachokudanganya wewe ni aina ya mchezo anayocheza Floyd.

Tulia ujuzwe Floyd ni nani usijiropokee ropokee hovyo kama mlevi.
 
So
Nilikuwa na makochi yanaonekana kama hizo seats nyeupe picha ya pili, nimeyatupa miezi michache iliyopita kuendana na fashion mpya.

Floyd Mayweather nimempita katika fashion, anatumia fashion nilizotupa miezi michache iliyopita.

For real.
What?
 
kinachokudanganya wewe ni aina ya mchezo anayocheza Floyd.

Tulia ujuzwe Floyd ni nani usijiropokee ropokee hovyo kama mlevi.
He is a lowbrow crass flashy trashy person with no class, no amount of money in the world has helped him change that.
 
Wewe kama yeye wote mmekulia umasikini hata umasikini ukiwa chini ya pua yako hutaujua.
Ha ha ha ha ha ha.

Usikariri kila mwanamichezo mwenye pesa huko utotoni alikuwa maskini.

Floyd hakuwa maskini ila hakupenda tu kusoma shule ndio maana akaacha.

Na hata bibi yake alichangia sana Floyd kuacha shule .

Alimuhimiza kuweka juhudi kwenye ngumi kwa kuwa alimuona anauwezo usio wa kawaida.
 
Floyd sio tu alikuwa masikini, mpaka leo masikini.
 
Wewe masikini mwenzake huwezi kunielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…