Floyd Mayweather ajipongeza kwa ushindi

Wewe masikini mwenzake huwezi kunielewa.
Ha ha ha ha ha

Pesa anazozimiliki Millan wewe za kwako hata muungane ukoo mzima hamuwezi kumfikia ,sembuse Floyd.

Huyo CR7 na hao wanamichezo wengine wanaosifika kuwa na pesa kama Tiger Woods hawamsogelei Floyd hata kidogo.
 
Nilikuwa na makochi yanaonekana kama hizo seats nyeupe picha ya pili, nimeyatupa miezi michache iliyopita kuendana na fashion mpya.

Floyd Mayweather nimempita katika fashion, anatumia fashion nilizotupa miezi michache iliyopita.

For real.
Hhhaaaaa
 
Ha ha ha ha ha

Pesa anazozimiliki Millan wewe za kwako hata muungane ukoo mzima hamuwezi kumfikia ,sembuse Floyd.

Huyo CR7 na hao wanamichezo wengine wanaosifika kuwa na pesa kama Tiger Woods hawamsogelei Floyd hata kidogo.
Wewe ushaniaga lakini huwezi kuondoka.

Na huelewi tofauti ya kuwa na pesa na umasikini,unaunganisha kwamba kuwa na pesa ni sawa na kutokuwa masikini.

Ndiyo maana nikakwambia wewe masikini na Mayweather masikini,huwezi kunielewa.

Sijawahi kukataa kwamba Mayweather hana pesa, in fact nimesema hapojuu kwamba anaweza kuwa na pesa, lakini hana class.

Sasa wewe usiyejua tofauti ya pesa na utajiri, huwezi kunielewa.

Tuko kwenye very different levels.
 
Kwa pesa kwa maana ya pesa ni hao wengine kama Pacquiao,Bradley, Maidana,Bellew nk

Ila kwa tafsiri ya utajiri Floyd ni tajiri kuliko mwanamichezo yoyote yule hapa duniani.


Nenda ukaangalie kwenye ranks za dunia Floyd anashika namba ngapi kwa utajiri kisha njoo hapa ulete mrejesho.
 
...teh hee hee
..umekwenda nae ng'adu kwa ng'adu,
.mi alipoleta nukuu ya kijamaa ya 'sizitaki mbichi hizi'
.nikachagua kumchunia tu!
 
Nimesema hivi, huwezi kunielewa.

Tajiri Bill Gates, kastaafu Microsoft anazunguka kufanya charity. Anagawa hela,ndiyo kazi yake iliyobaki.

Ana hela mpaka kazi ya kugawa hela imemshinda, imebidi aombe msaada wa Warren Buffet amsaidie kugawa hela vizuri.

Mtu anayerudi kazini huyo anatafuta hela bado hajawa tajiri hata akiwa ana bilioni ngapi.

Floyd Mayweather anakusanya fedha bado, hajamfikia hata Mo Dewji hata kama unataka kuangalia fedha.

Mtu tajiri hawezi ku flash with no class like trash kama anavyofanya Mayweather.

Ana pesa, lakini si tajiri.

Wewe masikini mwenzake huwezi kujua tofauti.
 
Hahaha aise ...
hivi mtu anayevaa Versace Robe clothes, mtu anayevaa Gucci Supreme Trench clothes,
mtu ambaye ameingia mkataba wa miaka miwili na one of the top German fashion designer Philipp Plein, na mtu ambaye anavaa nguo za Alexander McQueen one of the top British fashion designer, hapa nimeongea machache tu, hivi kweli unamuita mtu hana class na fashion? Hao ma-top designers angewajulia wapi? Angejulia wapi kua na brand zake za nguo "TMT" na alivyo mjanja anakaa karibu na hao best designers wanaojua fashion ili wampe ujuzi zaidi hadi kufikia kuingia mkataba..mtu wa hivyo hana class? unasema anatumia makochi yaliyopitwa na wakati, seriously? Hivi mtu ambae anavaa nguo siku moja na hairudii huyo atakua anatumia kitu kilichopitwa na wakati?
Sometimes jamani pengine yaweza kua labda unaweza kua na chuki na celebrity yoyote kwamba haumkubali, lakini hai make sense kusema vitu ambavyo havina mantiki kabisa. Anyway kila mtu ana uhuru wa maoni, hata kama utaoneshwa kwa video huwezi amini mana umeshapiga na muhuri kwamba hana CLASS NA FASHION HAJUI, kwamba ni TRASH, anatumia makochi yaliyopitwa na wakati ambayo wewe unasema ulikua nayo.ukayatupa.
 
...teh hee hee
..umekwenda nae ng'adu kwa ng'adu,
.mi alipoleta nukuu ya kijamaa ya 'sizitaki mbichi hizi'
.nikachagua kumchunia tu!
Fanboy, if you want to talk to me, talk to me.

Don't talk about me like I am not here while I am here.

Are you afraid of me or what?
 
Hapa mjinga ni mimi au wewe?hujajiona kua wewe ni mburula?
 
Top designers hata uki google "top designers" utapata majina yao, kamauna hela unanunua tu vitu vyao, huhitaji kujua fashion.

Unajua hayo majina yote uliyoyataja unaweza kuvaa na bado ukawa tacky?

In fact watu walio really stylish wanajitoa katikahayo majina ambayo sasa mpakahoi polloi wanavaa. You are so behind the curve!

That is retailfashion, you can get that stuff at Ross, do you know what is Ross?

Fashion si brands, hilo somo jingine.

Hizo brands hata kwenye outlets unapata, labda uko bongo unaona majina ya ajabu hayo.
 
Sawa bosi [emoji23]
 
Mr Kiranga kakojoe tu ukalale maana naona unanichosha tu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…