Hahaha aise ...
hivi mtu anayevaa Versace Robe clothes, mtu anayevaa Gucci Supreme Trench clothes,
mtu ambaye ameingia mkataba wa miaka miwili na one of the top German fashion designer Philipp Plein, na mtu ambaye anavaa nguo za Alexander McQueen one of the top British fashion designer, hapa nimeongea machache tu, hivi kweli unamuita mtu hana class na fashion? Hao ma-top designers angewajulia wapi? Angejulia wapi kua na brand zake za nguo "TMT" na alivyo mjanja anakaa karibu na hao best designers wanaojua fashion ili wampe ujuzi zaidi hadi kufikia kuingia mkataba..mtu wa hivyo hana class? unasema anatumia makochi yaliyopitwa na wakati, seriously? Hivi mtu ambae anavaa nguo siku moja na hairudii huyo atakua anatumia kitu kilichopitwa na wakati?
Sometimes jamani pengine yaweza kua labda unaweza kua na chuki na celebrity yoyote kwamba haumkubali, lakini hai make sense kusema vitu ambavyo havina mantiki kabisa. Anyway kila mtu ana uhuru wa maoni, hata kama utaoneshwa kwa video huwezi amini mana umeshapiga na muhuri kwamba hana CLASS NA FASHION HAJUI, kwamba ni TRASH, anatumia makochi yaliyopitwa na wakati ambayo wewe unasema ulikua nayo.ukayatupa.