Floyd Mayweather ajipongeza kwa ushindi


Hahahahahahahah, umetisha
 
Wengine tutaenda kupumzika bustanini tu kwa mungu
 
Watakuja wale wenzangu na mimi na comments zao utasikia "duniani tunapita maisha ni mbinguni" "Mali bila Yesu ni bure"
Mimi mmoja wao mkuu,mali bila Yesu ni useless,unachokiona hapo ni zaidi ya kilichoko mbinguni,shetani asikukatishe tamaa na vitu vya duniani,ukifa utaviacha hapahapa,hata huyo Mayweather hilo jumba unaweza kukuta mwenye nalo alishakufa na ameliacha hapa duniani,jiulize wako wapi wakina Mohamad Ali,Michael Jackson,Mobutu seseseko,Boris Abramovich Berezovsky na wengine wengi..??
 

Mimi Nimekulewa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
We jipe moyo tu
Hahaha kujipa moyo ni jambo la kawaida kwa maisha ya mwanadamu, kama katika maisha haya hujawahi hata siku moja kujipa moyo kufanikisha jambo lolote gumu mbele yako basi wewe hujajua sababu ya kuishi duniani.
 
Ni kweli maisha bila Yesu ni useless...na shetani asitukatishe tamaa na vitu vya duniani.




 
Saaaaaaaaaa Nakubali sanaaa
 
mkuu ungetumia hata jina lingine basi kwa mfano huo....
 
We boya unajua nii zaidi ya kuogesha vibibi vya kizungu huko Marekani
 
Kabla ya kutoa ushauri ambao hujaombwa, uliza.

Kabla ya kumwambia mtu asaidie yatima, muulize kama kashasaidia,unaweza kushauri kitu ambacho watu washafanya tayari ukatokea kiherehere cha kutoa ushauri usiohitajika.
we mbeba box si ulisema makochi yako umeyatupa jalalani....kwa nini ussingesaidia hata ndugu zako wa kijijini
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…