Floyd Mayweather ajipongeza kwa ushindi

Floyd Mayweather ajipongeza kwa ushindi

Hapa ndipo sometimes uwa ninahisi kuna maisha mara nyingine, yani ukifa unazaliwa kwingine na maisha mengine.
Haimake sense juma anaishi Tanzania ana maisha magumu ni kibaka ana madhambi tele, halafu mayweather yuko states ana maela mengi na anafanya kufuru na uzinzi naye ana madhambi pia halafu eti wote wakifa waende motoni wakati mmoja duniani alikula raha mwingine aliishi kwa tabu.

Hahahahahahahah, umetisha
 
Wengine tutaenda kupumzika bustanini tu kwa mungu
 
Watakuja wale wenzangu na mimi na comments zao utasikia "duniani tunapita maisha ni mbinguni" "Mali bila Yesu ni bure"
Mimi mmoja wao mkuu,mali bila Yesu ni useless,unachokiona hapo ni zaidi ya kilichoko mbinguni,shetani asikukatishe tamaa na vitu vya duniani,ukifa utaviacha hapahapa,hata huyo Mayweather hilo jumba unaweza kukuta mwenye nalo alishakufa na ameliacha hapa duniani,jiulize wako wapi wakina Mohamad Ali,Michael Jackson,Mobutu seseseko,Boris Abramovich Berezovsky na wengine wengi..??
 
Nimesema hivi, huwezi kunielewa.

Tajiri Bill Gates, kastaafu Microsoft anazunguka kufanya charity. Anagawa hela,ndiyokazi yakeiliyobaki.

Ana hela mpakakazi ya kugawa helaimemshinda, imebidi aombe msaada wa Warren Buffet amsaidie kugawa hela vizuri.

Mtu anayerudi kazini huyo anatafuta hela bado hajawa tajiri hata akiwa ana bilioni ngapi.

Floyd Mayweather anakusanya fedha bado,hajamfikia hata Mo Dewji hata kamaunataka kuangalia fedha.

Mtu tajiri haweziku flash with no class like trash kama anavyofanya Mayweather.

Ana pesa, lakini si tajiri.

Wewe masikini mwenzake huwezikujua tofauti.

Mimi Nimekulewa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
We jipe moyo tu
Hahaha kujipa moyo ni jambo la kawaida kwa maisha ya mwanadamu, kama katika maisha haya hujawahi hata siku moja kujipa moyo kufanikisha jambo lolote gumu mbele yako basi wewe hujajua sababu ya kuishi duniani.
 
Mimi mmoja wao mkuu,mali bila Yesu ni useless,unaochokiona hapo ni zaidi ya kilichoko mbinguni,shetani asikukatishe tamaa na vitu vya duniani,ukifa utaviacha hapahapa,hata huyo Mayweather hilo jumba unaweza kukuta mwenye nalo alishakufa na ameliacha hapa duniani...
Ni kweli maisha bila Yesu ni useless...na shetani asitukatishe tamaa na vitu vya duniani.

vllkyt7tjmhu3n25k.371a1781.jpg

vllkyt263erke78o6.398058ab.jpg

vllkyt6alkqo9u398.d75d4784.jpg

vllkyt772398nlqsc.5cfa54b1.jpg
 
Hatimaye bondia machachari na mwenye pesa, alieweka rekodi ya kutopigwa kwa mapambano ya ngumi 50, amejipongeza kwa kushinda pambano lake la mwisho na McGregor ambae ni bingwa wa UFC, kwa kununua jumba la kifahari huko Beverly Hills nchini Marekani..pambano hilo lilimuingizia Mayweather zaidi ya hela ya kitanzania Bilioni 225, na hakupoteza muda kuitumia hela yake hio aliyopata kwa kujipongeza.

Jumba hilo amelinunua kwa shilingi Bilioni 60 za kitanzania. Mayweather pia ametumia zaidi ya Bilioni 1 za kitanzania kufanya tu furnishing ndani ya nyumba yake hio mpya.

Jumba hilo lina ukumbi mkubwa wa kuangalia sinema, vyumba vya wageni, na sehemu nzuri ya kustarehe nje ikiwemo sehemu nzuri ya kuogelea.

Hii ni kwa ufupi tu, unaweza kuangalia zaidi picha hapo chini.

Everything is possible if you put your mind on it.

View attachment 602678
View attachment 602679
View attachment 602680
View attachment 602681
View attachment 602683
View attachment 602684
View attachment 602685
View attachment 602686
View attachment 602687
View attachment 602689
View attachment 602690
View attachment 602692
View attachment 602693
View attachment 602694
View attachment 602696
View attachment 602697
View attachment 602699
View attachment 602700
Saaaaaaaaaa Nakubali sanaaa
 
Hapa ndipo sometimes uwa ninahisi kuna maisha mara nyingine, yani ukifa unazaliwa kwingine na maisha mengine.
Haimake sense juma anaishi Tanzania ana maisha magumu ni kibaka ana madhambi tele, halafu mayweather yuko states ana maela mengi na anafanya kufuru na uzinzi naye ana madhambi pia halafu eti wote wakifa waende motoni wakati mmoja duniani alikula raha mwingine aliishi kwa tabu.
mkuu ungetumia hata jina lingine basi kwa mfano huo....
 
Nimesema hivi, huwezi kunielewa.

Tajiri Bill Gates, kastaafu Microsoft anazunguka kufanya charity. Anagawa hela,ndiyo kazi yake iliyobaki.

Ana hela mpaka kazi ya kugawa hela imemshinda, imebidi aombe msaada wa Warren Buffet amsaidie kugawa hela vizuri.

Mtu anayerudi kazini huyo anatafuta hela bado hajawa tajiri hata akiwa ana bilioni ngapi.

Floyd Mayweather anakusanya fedha bado, hajamfikia hata Mo Dewji hata kama unataka kuangalia fedha.

Mtu tajiri hawezi ku flash with no class like trash kama anavyofanya Mayweather.

Ana pesa, lakini si tajiri.

Wewe masikini mwenzake huwezi kujua tofauti.
We boya unajua nii zaidi ya kuogesha vibibi vya kizungu huko Marekani
 
Kabla ya kutoa ushauri ambao hujaombwa, uliza.

Kabla ya kumwambia mtu asaidie yatima, muulize kama kashasaidia,unaweza kushauri kitu ambacho watu washafanya tayari ukatokea kiherehere cha kutoa ushauri usiohitajika.
we mbeba box si ulisema makochi yako umeyatupa jalalani....kwa nini ussingesaidia hata ndugu zako wa kijijini
 
Hapa ndipo sometimes uwa ninahisi kuna maisha mara nyingine, yani ukifa unazaliwa kwingine na maisha mengine.
Haimake sense juma anaishi Tanzania ana maisha magumu ni kibaka ana madhambi tele, halafu mayweather yuko states ana maela mengi na anafanya kufuru na uzinzi naye ana madhambi pia halafu eti wote wakifa waende motoni wakati mmoja duniani alikula raha mwingine aliishi kwa tabu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha tu mkuu
 
Back
Top Bottom