Floyd Mayweather ajipongeza kwa ushindi

Floyd Mayweather ajipongeza kwa ushindi

...kwi kwi kwi kwi
..nilietaka kuongea nae ndo niliemquote;
.mbona unawashwawashwa
We fanboy una mahaba halafu mwoga, hivi huyo Floyd unayemparatia hivyo hata kukujua anakujua wewe?
 
Pita hivi[emoji117]
Umeona sasa unadandia vitu usivyovijua.

Hao wawili uliowataja ni ma heavyweights na kwa upande wa heavyweight Rocky ndiye bora zaidi amepambana mapambano 49 kashinda yote 43 kati ya hayo ameshinda kwa Knockout.

Na ukisema utumie kigezo cha P4P nenda ukaangalie rekodi ya Floyd na hao wengine unao walinganisha naye.
 
...utahamisha sana magoli leo!
..wewe uliesoma thread inayomuhusu mpaka ukanyevuka kujilinganisha nae,
.anakujua??
I stated a fact kwamba anachotambia nimekitupa. That is a fact.

Kwenu nyie mnayemuona Mungu mtu fulani.

Hana class, ni crass, ni trash.
 
I stated a fact kwamba anachotambia nimekitupa. That is a fact.

Kwenu nyie mnayemuona Mungu mtu fulani.

Hana class, ni crass, ni trash.
Ungekirekebisha na ungeenda hata kuwapa watoto yatima kwenye kituo chochote wakalie wangefurahi sana
 
Ungekirekebisha na ungeenda hata kuwapa watoto yatima kwenye kituo chochote wakalie wangefurahi sana
Unajuaje kwamba watoto yatima sijawanunulia?

Una assume sana.

Miminina kanuni ya kutotoa zawadi kitu chochote nilichokitumia, nikitaka kutoa zawadi nanunua kipya.
 
Sitashangaa naada ya miaka 2 alitaka kupigana ulingoni ktk boxing na Cynthia Rothrock just to sustain his life!!
 
Unajuaje kwamba watoto yatima sijawanunulia?

Una assume sana.

Miminina kanuni ya kutotoa zawadi kitu chochote nilichokitumia, nikitaka kutoa zawadi nanunua kipya.
Mimi sijui.wewe ndo wajua, ndio nasema haina mantiki kutupa kochi ambalo unadai ulikua nalo ambalo anatambia nalo mayweather kwenye hizo picha, ungeenda kuwapa wengine ambao hawana..huko ulikotupa nani anakalia hilo kochi, ukitupa ina mana unajisifu kwamba umetupa kochi ambalo mayweather anakalia huko kwake ..ungelitoa hata bure kwa mafundi wa makochi waliuze
Na pia haina shida unanunua mapya unaongezea na liliopitwa na wakati unaenda kutoa msaada.
 
Kwa hiyo unaandika vitu ambavyo hujui?
 
I stated a fact kwamba anachotambia nimekitupa. That is a fact.

Kwenu nyie mnayemuona Mungu mtu fulani.

Hana class, ni crass, ni trash.
...ndo mana unaonekana pwapwasa!,
..kilikuwasha nini kuuambia umma hiyo 'fact' yako kwa mtu ambae hana class,sijui crass/trash?
..na kimsingi ulichosema ni makochi 'yanayoonekana KAMA' tena bila hata ushahidi
....na ulivyo zwazwa ukahitimisha kwamba unampita fashion(mtu asie na class)
..hujielewi wewe kuzi!
 
Lakini huyu jamaa kapitwa na Jayz mbali sana
Mo Dewji tu kamfunika vibaya sana.

Mayweather msifuni kwenye ndondi huko mitwana inakoenda kubabuana.

Kwenye habari za hela na fashion huyu anazitafuta bado, ndiyo maana anatoka "kustaafu" anarudi ulingoni.

Na hata sasa akitoka "kustaafu"tena kurudi ulingoni siwezi kushangaa.

Kwa sababu anazitafuta bado.

Tajiri akistaafu harudi kuzitafuta tena.
 
Kwa hiyo unaandika vitu ambavyo hujui?
Nitajuaje kama unatoa misaada kwa yatima ambavyo sio.used ni brand new mimi sijui ni wewe ndo wajua ..kama makochi katika hizo picha ulikua nayo ukatupa unajua mwenyewe
ila ndo ivo huez kujitapa kwa staili.hiyo kutupa makochi sio jambo la kujisifu ungepeleka sehem zenye uhitaji ukiongezea na brand new couches.
 
...ndo mana unaonekana pwapwasa!,
..kilikuwasha nini kuuambia umma hiyo 'fact' yako kwa mtu ambae hana class,sijui crass/trash?
..na kimsingi ulichosema ni makochi 'yanayoonekana KAMA' tena bila hata ushahidi
....na ulivyo zwazwa ukahitimisha kwamba unampita fashion(mtu asie na class)
..hujielewi wewe kuzi!
Kwa sababu ni fact, wewe hupendi ukweli na huwezikuelewa fact ni nini.

Unapenda kumuimbia HALELUYA bwana wako.
 
Nitajuaje kama unatoa misaada kwa yatima ambavyo sio.used ni brand new mimi sijui ni wewe ndo wajua ..kama makochi katika hizo picha ulikua nayo ukatupa unajua mwenyewe
ila ndo ivo huez kujitapa kwa staili.hiyo kutupa makochi sio jambo la kujisifu ungepeleka sehem zenye uhitaji ukiongezea na brand new couches.
Sasa kama hujui uliza, usikimbilie kusema mambo ambayo hujui.
 
Back
Top Bottom