Floyd Mayweather ajipongeza kwa ushindi

Floyd Mayweather ajipongeza kwa ushindi

Sasa kama hujui uliza, usikimbilie kusema mambo ambayo hujui.
Niulize nini tena na wakat ushajipambanua kwamba makochi aliyonayo mayweather ulikua nayo.ukayatupa(in whichi ungeenda kutoa msaada), na pia jamaa ni trash kwamba hajui kuvaa,ni masikini, hana class yoyote,kwamba anapitwa na Mohamed Dewji..kwamba hutoi misaada vitu ulivyotumia yaani used, hua unatupa, unanunua brand new, yan kwa kifupi kwamba unayo pesa ...sasa nkuulize nini tena
 
Kabla ya kutoa ushauri ambao hujaombwa, uliza.

Kabla ya kumwambia mtu asaidie yatima, muulize kama kashasaidia,unaweza kushauri kitu ambacho watu washafanya tayari ukatokea kiherehere cha kutoa ushauri usiohitajika.
 
jiwekeeni hazina mbinguni mahali ambapo nondo wala kutu haviharibu
 
Kabla ya kutoa ushauri ambao hujaombwa, uliza.

Kabla ya kumwambia mtu asaidie yatima, muulize kama kashasaidia,unaweza kushauri kitu ambacho watu washafanya tayari ukatokea kiherehere cha kutoa ushauri usiohitajika.
Haha ndio.ushauri wangu ..nkuulize kwa nini, ushaur utakuja hata kama unafanya ama hufanyi, unasaidia yatima husaidii hilo wajua mwemyewe na roho yako...na ndivyo navyosema kwamba hata kama una pesa ya kubadilisha makochi ambayo Floyd Mayweather anayatumia na kuweka mapya na yale used ambayo Mayweather anayatumia kama ambavyo kwenye picha hapo juu ukayatupa, ni bora ukapeleke msaada sehemu yoyote upate thawabu kutoka kwa Mungu. Kujisifu kwamba ulitupa makochi ambayo Mayweather anayatumia umeyaita takataka sio jambo linalompendeza Mungu.
 
Usipende kutoa ushauri bila kuulizwa, unaweza kuuawa sehemu nyingine kwa kimbelembele hicho.
 
Hahaha usinitishie nyau
nasisitiza kutupa makochi anayotumia Mayweather kule marekani hata kama una hela ya kubadilisha sio vizuri na hakuna thawabu yoyote unayopata kutoka.kwa Mungu, ni vema ukatoa msaada kwa ambao kwao bado vitaonekana ni vipya japo kwako ni takataka na used sababu una pesa, uwakumbuke yatima na watu wasiojiweza kuliko kutupa na kuja kutamba kwenye social networks kwamba makochi aliyokalia Mayweather nilishaatumia na kuyatupa halafu unajiona bonge la mjanja ..Mungu. hadhihakiwi hata anaweza kukunyang'anya hivyo ulivyonavyo.kwa ajili.ya uselfish.
 
Kamawewe na kijiji chenu mnaamini katikaujinga wa kutoa ushauri usioombwa wala kuhitajiwa, si kila mtu ana ungumbaru huo bado.

Na Mungu hayupo, kama yupo thibitisha kwamba yupo.
 
Nasisitiza ya kwamba kutupa makochi ambayo anakalia Mayweather sio busara ungewapa wasioojiweza na wanaoishi katika mazingira magumu, vituo vinajulikana ni wewe kuchagua.
Na naona ni makochi mazuri.kweli kama kuna uwezekano ukayaokote uyatengeneze ukawape wasiojiweza watafurahi na utabarikiwa na ulichonacho utaongezewa na utapata thawabu kutoka kwa Mungu.
 
Me maswali yangu kwenu Ni haya tu..
(1)Uwanja wa ndondi unaingiza wastani watu wangapi?
(2)Kiingilio Ni dola ngapi?
(3)Mafao baada ya ndondi mgao unakuwaje
(4)Je,inawezekana ukacheza mechi moja Na ukapata kiasi hicho cha Jamaa alichonunua hilo hekalu?
(5)Je,pesa hiyo inapatikana ulingoni pekee au Kuna namna nyingine ya kupata pesa nje wa viingilio?
 
Pay-per-view, viingilio vikubwa na matangazo ya wadhamini ndio vinaingiza mpunga wa kutosha.
 
Siku hizi unataka kufanana na mwanaume WA Dar?
Mimi familia yangu tangu vizazi angalau vinne vilivyopita vinavyojulikana ni watu wa Dar.

Wahenga wa familia wamejenga Azania Front na kuimaliza1903. Na hapo walikuwa watu wazima, maana yake walikuwapo Dar kabla ya hapo.

Kwa hiyo kama unafikiria "siku hizi" nataka kufanana na wanaume wa Dar, labda unanitazama kwa woga siku nyingi wakuja.

Mimi nipo Dar tangu Joan Wicken anakula lunch ya mkate kwa matufaa Magogoni.

What do you know about that?
 
Back
Top Bottom