Floyd Mayweather ampiku Muhammad Ally

Wataalam wa ngumi wanapotoa orodha hawaangalii uzito gani. Jaribu kuuliza Pound for Pound. Ukifahamu utajua kwa nini wanaweka uzani tofauti kwenye orodha ya ubora wa mabondia
 
Wote Hao walichezea kwa Ally usimfananishe na vitu vya kijinga yule jamaa
 
Unaposema kukosa upinzani unamaanisha nini?
Binafsi Lennox Lewis alikuwa njema sana lkn alishawahi kupata joto la jiwe toka kwa Hasim Rahman na Oliver McCall.
Hata mie nashangaa kutomuona ktk list hii!
Walivyorudiana na hasim ulioangalia pambano rahman alitema mchuzi nadhan raundi ya Tatu Lewis alikuwa tatizo
 
Mkuu hawakutazama marudiano lewis alikuwa hatari kubwa Sema Hana mbwembwe
 
Mike Tyson
Mohammed Ali
Lennox Lewis
Marvelous Marvin Haggler
George Foreman
Joe Frazier
Sonny Liston
.
.
.
.
.
Kwa mimi fan wa heavy weights hao vipepeo siwaelewi na hiyo list bila ya Iron Mike ni kichekesho tu.
 
Hiyo list ina kasoro nyingi, baadhi ya kasoro nilizoziona kwa harakaharaka;
1. Kigezo walichotumia kumpa Mayweather no1 how kimfanye Rocky Marciano kuwa no18? Mayweather ni 50-0-0, Rocky 49-0-0. Thats nonsense!

2. Haiingii akilini kwenye top 25 of all time lisiwepo jina la Mike Tyson, hilo pekee linaondoa credibility ya hiyo list.

3. Evander Holyfield kuwa no 11 halafu Lennox Lewis kutokuwemo hata top 25, what a joke!!! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Lile jamaa la kuitwa wilder halipo kwenye list..lile lijamaa lina roho mbaya balaa sijui wanaopigana nalo wanajiamini nini kudadeki
Wilder sio rahisi kuwemo, wadau wengi wa ngumi na wachambuzi hawamkubali, wanasema hana skills za boxer alichonacho yeye ni power tu, ila mimi napenda tu KO zake haijalishi anatumia style gani kupigana
 
Pia waendesha ngumi ni wamarekani, hawapendi kukubali kwamba Lewis alikuwa juu ya mabondia wao pamoja na kuwadunda
 
tatizo la lewis alikua anashinda kwa point,muoga,alikua anatumia urefu wa mikono yake kudukua nyuso za wenzake ndomana watu hawakumpenda,ulingoni alikua anakimbiakimbia sana..alikua anaboa
Sio kweli kabisa, kwani Mike Tyson alipigwa kwa style gani? Na ukisema Lewis anakimbiakimbia je kwa Mohamed Ally utasemaje?
 
Sio kweli kabisa, kwani Mike Tyson alipigwa kwa style gani? Na ukisema Lewis anakimbiakimbia je kwa Mohamed Ally utasemaje?
huwezi kupigana na tyson punch kwa punch,unatakiwa kumkimbiakimbia na kumshika,kama evander na hata lewis alivyofanya,walikua wanamshika walau hadi raundi ya 6 ambayo wengi waliamini tyson hukata pumzi,pambano la lewis v rahman lewis alikua anakimbiakimbia na kukumbatia licha ya kimo kifupi cha rahman,mwangalie ali vizuri
 
Rocky Marciano kuwa undefeted sio kigezo cha yeye kuingia top ten ,angalia na mabondia aliopigana nao na skills zake zipo vipi.
 
Rocky Marciano kuwa undefeted sio kigezo cha yeye kuingia top ten ,angalia na mabondia aliopigana nao na skills zake zipo vipi.
Ok tufanye Rocky alikuwa anapigana na bums, vipi kuhusu Mike Tyson na Lennox Lewis kutokuwepo na Evander kuwepo hilo unasemaje?
 
Anamzidi Mayweather kukimbia? Umeshaangalia pambano la Mohamed Ally na George Foreman? Uliona Ally anavyokimbia? Mbona anasifiwa kwamba ni GOAT wakati style yake ndo hiyohiyo ya kukimbiakimbia
 
Anamzidi Mayweather kukimbia? Umeshaangalia pambano la Mohamed Ally na George Foreman? Uliona Ally anavyokimbia? Mbona anasifiwa kwamba ni GOAT wakati style yake ndo hiyohiyo ya kukimbiakimbia
pambano moja tu unatolea mfano!?..katika filo pambano ali karusha punch za kumwaga zilizotua sehemu lengwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…