fokonola bokoyoka
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 966
- 638
Muhamad Ali na Mike Tyson noma sana hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataalam wa ngumi wanapotoa orodha hawaangalii uzito gani. Jaribu kuuliza Pound for Pound. Ukifahamu utajua kwa nini wanaweka uzani tofauti kwenye orodha ya ubora wa mabondiaEti ???
Kwanza Floyd anapigana Middle weight wakati Ali alikuwa anapigana Heavy Weight huoni kama anafanya comparison ya vitu visivyoendana,
Angefanya comparison ya Mike Tyson na Mohamed Ali tungemuelewa kidogo sababu hao wote walikuwa wanazipiga ndondi za uzito wa juu
Cha kushangaza Mike Tyson hayupo kwenye hiyo list
Unapozungumzia boxing usipowataja Tyson na Mohamed Ali ni sawa unapozungumzia boli bila ya Pele na Maradona
Weka mapenzi yako kando, vyenginevyo unaongelea kitu usichokijua.Huwezi kujibu mpaka u Google? Umeona ni jinsi gani ulivyo mweupe?
Wote Hao walichezea kwa Ally usimfananishe na vitu vya kijinga yule jamaaNakubaliana na wewe, mimi Ally hawajawahi kunivutia, sijaona kama alikua special kwenye Ngumi. Media attention na ile uanaharakati ndio uliompa jina ila hakua mzuri kabisa. Enzi zake kulikua na watu wazuri sana kina Smoking Joe, Joe Frazier nk. Labda ubora wa kukwepa makonde.
Mimi kwangu Tyson angekua namba moja. Money nae hana kitu zaidi ya media attention ila sio mbaya.
Walivyorudiana na hasim ulioangalia pambano rahman alitema mchuzi nadhan raundi ya Tatu Lewis alikuwa tatizoUnaposema kukosa upinzani unamaanisha nini?
Binafsi Lennox Lewis alikuwa njema sana lkn alishawahi kupata joto la jiwe toka kwa Hasim Rahman na Oliver McCall.
Hata mie nashangaa kutomuona ktk list hii!
Lina ngumi ya kulia mtu anaweza ku ripLile jamaa la kuitwa wilder halipo kwenye list..lile lijamaa lina roho mbaya balaa sijui wanaopigana nalo wanajiamini nini kudadeki
Mkuu hawakutazama marudiano lewis alikuwa hatari kubwa Sema Hana mbwembweLile pambano na Rahman Lewis alikiri kufanya uzembe kule south africa na waliporudiana si ulioona Rahman alivyoumuliwa kichwani? Kifupi Mpaka anamdunda Tyson na wale kina Vitali hakukua na bondia mwingine aliyeweza kusimama na Lewis katika kipindi kile.. kumbuka kuwa hata huyo Oliver McCall alipocheza na Lewis aligoma kuendelea na pambano dhidi ya lewis tena alilia kbs ulingoni .. kifupi Lewis alikuwa one of the best boxer shida ni kwamba hakuwa na mvuto tu ni kama alikua mpole mpole flani wakati bondia anatakiwa awe na vurugu vurugu sababu ya nature ya mchezo wenyeweView attachment 1181232View attachment 1181232
Hiki alichofanyiwa Rahman na Lewis kitabaki kuwa kumbukumbu ya milele katika history ya heavyweight boxing
Jombaa ulizia na uncle shamte [emoji23]Mkuu vipi mama yake Diamond anaendeleaje??
uncle shamte anaroho ngumu kwa kweliJombaa ulizia na uncle shamte [emoji23]
Wilder sio rahisi kuwemo, wadau wengi wa ngumi na wachambuzi hawamkubali, wanasema hana skills za boxer alichonacho yeye ni power tu, ila mimi napenda tu KO zake haijalishi anatumia style gani kupiganaLile jamaa la kuitwa wilder halipo kwenye list..lile lijamaa lina roho mbaya balaa sijui wanaopigana nalo wanajiamini nini kudadeki
Pia waendesha ngumi ni wamarekani, hawapendi kukubali kwamba Lewis alikuwa juu ya mabondia wao pamoja na kuwadundaLile pambano na Rahman Lewis alikiri kufanya uzembe kule south africa na waliporudiana si ulioona Rahman alivyoumuliwa kichwani? Kifupi Mpaka anamdunda Tyson na wale kina Vitali hakukua na bondia mwingine aliyeweza kusimama na Lewis katika kipindi kile.. kumbuka kuwa hata huyo Oliver McCall alipocheza na Lewis aligoma kuendelea na pambano dhidi ya lewis tena alilia kbs ulingoni .. kifupi Lewis alikuwa one of the best boxer shida ni kwamba hakuwa na mvuto tu ni kama alikua mpole mpole flani wakati bondia anatakiwa awe na vurugu vurugu sababu ya nature ya mchezo wenyeweView attachment 1181232View attachment 1181232
Hiki alichofanyiwa Rahman na Lewis kitabaki kuwa kumbukumbu ya milele katika history ya heavyweight boxing
Sio kweli kabisa, kwani Mike Tyson alipigwa kwa style gani? Na ukisema Lewis anakimbiakimbia je kwa Mohamed Ally utasemaje?tatizo la lewis alikua anashinda kwa point,muoga,alikua anatumia urefu wa mikono yake kudukua nyuso za wenzake ndomana watu hawakumpenda,ulingoni alikua anakimbiakimbia sana..alikua anaboa
huwezi kupigana na tyson punch kwa punch,unatakiwa kumkimbiakimbia na kumshika,kama evander na hata lewis alivyofanya,walikua wanamshika walau hadi raundi ya 6 ambayo wengi waliamini tyson hukata pumzi,pambano la lewis v rahman lewis alikua anakimbiakimbia na kukumbatia licha ya kimo kifupi cha rahman,mwangalie ali vizuriSio kweli kabisa, kwani Mike Tyson alipigwa kwa style gani? Na ukisema Lewis anakimbiakimbia je kwa Mohamed Ally utasemaje?
Rocky Marciano kuwa undefeted sio kigezo cha yeye kuingia top ten ,angalia na mabondia aliopigana nao na skills zake zipo vipi.Hiyo list ina kasoro nyingi, baadhi ya kasoro nilizoziona kwa harakaharaka;
1. Kigezo walichotumia kumpa Mayweather no1 how kimfanye Rocky Marciano kuwa no18? Mayweather ni 50-0-0, Rocky 49-0-0. Thats nonsense!
2. Haiingii akilini kwenye top 25 of all time lisiwepo jina la Mike Tyson, hilo pekee linaondoa credibility ya hiyo list.
3. Evander Holyfield kuwa no 11 halafu Lennox Lewis kutokuwemo hata top 25, what a joke!!! [emoji1][emoji1][emoji1]
Ok tufanye Rocky alikuwa anapigana na bums, vipi kuhusu Mike Tyson na Lennox Lewis kutokuwepo na Evander kuwepo hilo unasemaje?Rocky Marciano kuwa undefeted sio kigezo cha yeye kuingia top ten ,angalia na mabondia aliopigana nao na skills zake zipo vipi.
Anamzidi Mayweather kukimbia? Umeshaangalia pambano la Mohamed Ally na George Foreman? Uliona Ally anavyokimbia? Mbona anasifiwa kwamba ni GOAT wakati style yake ndo hiyohiyo ya kukimbiakimbiahuwezi kupigana na tyson punch kwa punch,unatakiwa kumkimbiakimbia na kumshika,kama evander na hata lewis alivyofanya,walikua wanamshika walau hadi raundi ya 6 ambayo wengi waliamini tyson hukata pumzi,pambano la lewis v rahman lewis alikua anakimbiakimbia na kukumbatia licha ya kimo kifupi cha rahman,mwangalie ali vizuri
pambano moja tu unatolea mfano!?..katika filo pambano ali karusha punch za kumwaga zilizotua sehemu lengwaAnamzidi Mayweather kukimbia? Umeshaangalia pambano la Mohamed Ally na George Foreman? Uliona Ally anavyokimbia? Mbona anasifiwa kwamba ni GOAT wakati style yake ndo hiyohiyo ya kukimbiakimbia
Kwani ni lazima wawepo?Ok tufanye Rocky alikuwa anapigana na bums, vipi kuhusu Mike Tyson na Lennox Lewis kutokuwepo na Evander kuwepo hilo unasemaje?