Floyd Mayweather anunua jumba la thamani ya billion 46.14

Floyd Mayweather anunua jumba la thamani ya billion 46.14

Huku kwetu matajiri ni wachafu wachafu tu sura zimefubaa utafikiri basi la mwendamseke.

Kumbe bank ana mabilioni ya pesa.

Tumia pesa uifurahie.
 
Hivi hayo mabafu yooote wanafanyiaga nini? Uswazi bafu moja na choo kimoja watu nyomi na tunatosha.
Mabafu ni muhimu sheikh, kila chumba lazima kiwe na bafu plus mabafu ya wasioishi hapo ambao hawatakiwi kutumia mabafu ya vyumbani[emoji28][emoji28].
Hata poolside lazima kuwe na bafu/mabafu.
Mambo ya kusubiri na ndoo yako kwenye foleni huo ni utaalamu wetu tunauweza wenyewe.
 
Kununua majumba ya kifahari kama hayo sio kupoteza hela,hayo majumba na ardhi yake baada ya miaka 5 yanapanda bei zadi ya aliyonunulia,kwahiyo bado anajitahidi kuwekeza,ila hela ya ngumi ni ngumu sana,unapata pesa kwa kupigwa hii ni hatari sana,pamoja na kuwa anashinda lakini kuna ngumi ambazo zinampata na hata kumhatarishia maisha yake,cha kujifunza ni kuwa hakuna pesa rahisi...

kwa marekani hali ni tofauti sana,nyumba hizi nyingi baada ya miaka kadhaa hushuka bei.

rejea kisa cha MJ.nyumba ilisumbua sana kuuzika.
 
Hivi hayo mabafu yooote wanafanyiaga nini? Uswazi bafu moja na choo kimoja watu nyomi na tunatosha.
Kuna Siri kubwa Sana Kwa hawa watu wanaoitwa mastaa , na hzo Mali na magar wanayotambiana ....!!! Ukitaka kukimbizana nao utauza uhai brother ...!! Hata hvyo maisha yenyewe mafupi so sometime unaevaluate risk na profit then unachukua maamuz..!! At the end usije laumu mtu
 
Miye nikimbizane nae huyo kaka kweli unasema au unatania.Miye maisha ya Ambaruth tuu ya kwenye Instagram yananotoa jasho.
Apite tuu nguruwe sina mkuki miye.
 
Back
Top Bottom